RATIBA Mechi za Yanga September 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPAÂ WHATSAPP BOFYA HAPA
Klabu ya Yanga SC inatarajiwa kucheza michezo minne (4) mwezi huu September 2024.
Mechi 2 zikiwa ni za Ligi Kuu ya NBC, huku mechi 2 zikiwa ya hatua ya Kwanza ya CAF Champions League.
Ratiba Kamili ya mechi za Young Africans September 2024
👉September 14-2024
16:00 CBE FC vs Young Africans (CAF Champions League)
👉September 21-2024
16:00 Young Africans vs CBE FC (CAF Champions League)
👉September 25-2024
16:00 KenGold vs Young Africans (NBC Premier League)
👉September 29-2024
19:00 Young Africans vs KMC FC (NBC Premier League)
Soma na hii: RATIBA ya Mechi za Yanga 2024/2025