RATIBA na Makundi Ligi ya Vijana NBC U20 Premier League 2023/2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
RATIBA na Makundi Ligi ya Vijana NBC U20 Premier League 2023/2024
RATIBA na Makundi Ligi ya Vijana NBC U20 Premier League 2023/2024,Ratiba ya Ligi Kuu ya Vijana U-20 2024, Ratiba ya U-20 Ligi ya Vijana Tanzania 2023/2024, Ratiba Kamili ya Ligi ya Vijana NBC U20 Premier League 2023/2024.
Ligi ya vijana U20 imeanza kutimua vumbi May 13-2024, huku mechi zote zitakuwa zinapatikana moja kwa moja kupitia Kingamuzi Cha AzamTV.
Katika Ligi hii, timu zimegawanywa katika Makundi mawili, yaani kundi A na kundi B, ambapo kila kundi litakuwa na timu nane.
Aidha mechi mbili zitapigwa kila siku katika dimba la Azam Complex, Chamazi.
Mgawanyo wa timu kwenye makundi mawili umepangwa timu hizo kushindana dhidi ya kila mmoja katika hatua za awali za Ligi hiyo.
Kuwa na mechi mbili kila siku kutafanya ligi kuwa ya kuvutia na kushangaza kwa mashabiki na watazamaji.
Hii ni nafasi nzuri kwa wachezaji vijana kuonyesha vipaji vyao msimu wa kusisimua wa NBC U20 Premier League wa 2023/2024.
Katika kipindi hiki, timu za vijana zilijitahidi kuonyesha uwezo wao katika michuano hii ya kipekee, ambayo ni jukwaa la kuibua vipaji vipya katika Ulimwengu wa soka.
Kwa kujenga msingi imara wa mafunzo na ushindani, timu zimekuwa zikipigania nafasi kwenye nafasi nane bora za makundi A na B, kujipatia nafasi ya kuelekea hatua inayofuata.
MAKUNDI Ligi ya Vijana NBC U20 Premier League 2023/2024
GROUP A
Dodoma Jiji U-20 -Dodoma
JKT Tanzania U-20 – Dodoma
Simba SC U-20 – Dar Es Salaam
Ihefu FC U-20 – Mbeya
GROUP B
Azam FC U-20 – Dar Es Salaam
Kagera Sugar U-20 – Kagera
Geita Gold U-20 – Geita
Coastal Union U-20 – Tanga
RATIBA Kamili ya Ligi ya Vijana NBC U20 Premier League 2023/2024
👉May 13-2024 – NBC U20 Premier League 2023/2024
👉14:00 Ihefu SC vs Simba SC
👉16:15 Dodoma Jiji vs JKT Tanzania
May 14-2024 – NBC U20 Premier League 2023/2024
👉14:00 Azam FC vs A Sugar
👉16:15 Geita Gold vs Coastal Union
May 15-2024 – NBC U20 Premier League 2023/2024
👉14:00 JKT Tanzania vs Ihefu SC
👉16:15 Dodoma Jiji vs Simba SC
May 16-2024 – NBC U20 Premier League 2023/2024
👉14:00 Kagera Sugar vs Geita Gold
👉16:15 Azam FC vs Coastal Union
May 17-2024 – NBC U20 Premier League 2023/2024
👉TBD Dodoma Jiji vs Ihefu SC
👉TBD JKT Tanzania vs Simba SC
May 18-2024 – NBC U20 Premier League 2023/2024
👉TBD Azam FC vs Geita Gold
👉TBD Kagera Sugar vs Coastal Union
Ratiba ya Nusu Fainali – NBC U20 Premier League 2023/2024
👉May 20-2024
TBD A1 vs B2
TBD B1 vs A2
Ratiba ya kutafuta mshindi wa tatu – NBC U20 Premier League
👉May 22-2024
TBD L1 vs L2
Ratiba ya Fainali – NBC U20 Premier League
👉May 22-2024
W1 vs W2
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]
Tags: Ratiba Kamili ya Ligi ya Vijana NBC U20 Premier League 2023/2024., RATIBA na Makundi Ligi ya Vijana NBC U20 Premier League 2023/2024, Ratiba ya Ligi Kuu ya Vijana U-20 2024, Ratiba ya U-20 Ligi ya Vijana Tanzania 2023/2024