RATIBA na Makundi ya Byabato Bukoba Cup 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
RATIBA na Makundi ya Byabato Bukoba Cup 2024
RATIBA na Makundi ya Byabato Bukoba Cup 2024,Ligi ya Byabato Cup ya Mbunge wa Jimbo la Mjini Wakili, Stephen Byabato Mkoani Kagera imezinduliaa rasmi na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na MichezoHamis Mwijuma Julai 06,2024.
RATIBA ya Mpira wa Miguu Kombe la Mbunge Byabato Cup Bukoba 2024.
MAKUNDI
👉Kundi A
- Bilele
- Bakoba
- Hamugembe
- Kagondo
- Nyanga
- Kibeta
- Buhembe
👉Kundi B
- Miembeni
- Kashai
- Rwamishenye
- Nshambya
- Ijuganyondo
- Kitendaguro
- Kahororo
Ratiba Kamili ya hatua ya Makundi Kombe la Mbunge Byabato Cup Bukoba 2024
👉July 06-2024
16:00 Bakoba vs Bilele (Kaitaba Stadium)
👉July 07-2024
14:00 Hamugembe vs Kagondo (Kaitaba Stadium)
16:00 Miembeni vs Kashai (Kaitaba Stadium)
👉July 08-2024
14:00 Rwamishenye vs Nshambya (Kaitaba Stadium)
16:00 Nyanga vs Kibeta (Kaitaba Stadium)
👉July 09-2024
14:00 Bilele vs Buhembe (Kaitaba Stadium)
16:00 Ijuganyondo vs Kitendaguro (Kaitaba Stadium)
👉July 10-2024
14:00 Kahororo vs Miembeni (Kaitaba Stadium)
16:00 Bakoba vs Hamugembe (Kaitaba Stadium)
👉July 11-2024
14:00 Kashai vs Rwamishenye
16:00 Kagondo vs Nyanga (Kaitaba Stadium)
👉July 12-2024
14:00 Nshambya vs Ijuganyondo (Kaitaba Stadium)
16:00 Buhembe vs Kibeta (Kaitaba Stadium)
👉July 13-2024
14:00 Hamugembe vs Bilele (Kaitaba Stadium)
16:00 Kitendaguro vs Kahororo (Kaitaba Stadium)
👉July 14-2024
14:00 Rwamishenye Miembeni (Kaitaba Stadium)
16:00 Kagondo vs Bakoba (Kaitaba Stadium)
👉July 15-2024
14:00 Nyanga vs Buhembe (Kaitaba Stadium)
16:00 Nshambya vs Kashai (Kaitaba Stadium)
👉July 16-2024
14:00 Ijuganyondo vs Kahororo (Kaitaba Stadium)
16:00 Kibeta vs Bilele (Kaitaba Stadium)
Tarehe 17 itakuwa siku ya Mapumziko
👉July 18-2024
14:00 Bakoba vs Nyanga (Kaitaba Stadium)
16:00 Rwamishenye vs Ijuganyondo (Kaitaba Stadium)
👉July 19-2024
14:00 Hamugembe vs Kibeta (Kaitaba Stadium)
16:00 Kahororo vs Nshambya (Kaitaba Stadium)
👉July 20-2024
14:00 Buhembe vs Kagondo (Kaitaba Stadium)
16:00 Miembeni vs Ijuganyondo (Kaitaba Stadium)
👉July 21-2024
14:00 Nshambya vs Kitendaguro (Kaitaba Stadium)
16:00 Bilele vs Nyanga (Kaitaba Stadium)
👉July 22-2024
14:00 Kashai vs Kahororo (Kaitaba Stadium)
16:00 Kibeta vs Bakoba (Kaitaba Stadium)
👉July 23-2024
14:00 Kitendaguro vs Miembeni (Kaitaba Stadium)
16:00 Hamugembe vs Buhembe (Kaitaba Stadium)
👉July 24-2024
14:00 Kagondo vs Bilele (Kaitaba Stadium)
16:00 Rwamishenye vs Kahororo (Kaitaba Stadium)
👉July 25-2024
16:00 Ijuganyondo vs Kashai (Kaitaba Stadium)
👉July 26-2024
14:00 Bakoba vs Buhembe (Kaitaba Stadium)
16:00 Rwamishenye vs Kitendaguro (Kaitaba Stadium)
👉July 27-2024
14:00 Miembeni vs Nshambya (Kaitaba Stadium)
16:00 Nyanga vs Hamugembe (Kaitaba Stadium)
👉July 28-2024
14:00 Kitendaguro vs Kashai (Kaitaba Stadium)
16:00 Kagondo vs Kibeta (Kaitaba Stadium)
Katika Ligi hiyo ya Byabato Bukoba Cup 2024 Mshindi wa kwanza (Bingwa) atajipatia kiasi cha Tanzania Shilingi Milioni 3, mshindi wa pili atajipatia Tsh milioni mbili (2) na mshindi wa tatu (3) atajipatia Tsh milioni moja (1).