RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RATIBA na Nauli ya MV Victoria Hapa Kazi tu Mwanza to Bukoba

Filed in Makala by on 17/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

RATIBA na Nauli ya MV Victoria Hapa Kazi tu Mwanza to Bukoba

RATIBA na Nauli ya MV Victoria Hapa Kazi tu Mwanza to Bukoba, Ratiba ya meli mwanza bukoba, MV Victoria online booking, Nauli ya meli mwanza bukoba 2024, MV Victoria Bukoba Mwanza, Nauli ya mwanza to bukoba, Ratiba ya meli ya mv victoria,Tiketi za meli,MV Victoria online booking number, Kampuni ya huduma za meli tanzania,Nauli za meli mwanza bukoba 2024 tickets,MV Victoria Tanzania.

RATIBA na Nauli ya MV Victoria Hapa Kazi tu Mwanza to Bukoba

RATIBA na Nauli ya MV Victoria Hapa Kazi tu Mwanza to Bukoba, Ratiba ya meli mwanza bukoba, MV Victoria online booking, Nauli ya meli mwanza bukoba 2024, MV Victoria Bukoba Mwanza, Nauli ya mwanza to bukoba.

Ratiba ya meli ya mv victoria,Tiketi za meli,MV Victoria online booking number, Kampuni ya huduma za meli tanzania, Nauli za meli mwanza bukoba 2024 tickets,MV Victoria Tanzania.

Meli ya Mv Victoria “Hapa Kazi Tu” inatoa huduma ya usafirishaji wa abiria na mizingo kwa njia ya maji kati ya Miji ya Mwanza na Bukoba.

RATIBA na Nauli ya MV Victoria Hapa Kazi tu Mwanza to Bukoba, Ratiba ya meli mwanza bukoba, MV Victoria online booking, Nauli ya meli mwanza bukoba 2024, MV Victoria Bukoba Mwanza, Nauli ya mwanza to bukoba, Ratiba ya meli ya mv victoria,Tiketi za meli,MV Victoria online booking number, Kampuni ya huduma za meli tanzania,Nauli za meli mwanza bukoba 2024 tickets,MV Victoria Tanzania.

RATIBA na Nauli ya MV Victoria Hapa Kazi tu Mwanza to Bukoba

Safari zake ni kila siku ya Jumatatu na Ijumaa. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0739606600.

Nauli na Ratiba ya Meli ya Mv. Clarias kutoka Mwanza kwenda Visiwa vya Gana na Godziba.

Nauli na Ratiba ya Meli ya Mv. Clarias kutoka Mwanza kwenda Visiwa vya Gana na Godziba.


Kampuni ya Huduma za Meli (Marine Services Company Limited – MSCL) ilianzishwa chini ya Sheria ya Makampuni sura 212 mnamo tarehe 08/12/1997 kutokana na kilichokuwa kitengo cha usafirishaji wa majini cha Shirika la Reli (TRC).

Baada ya kuanzishwa kwa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), mali zote zilizokuwa chini ya kitengo cha usafiri majini cha TRC zilihamishiwa katika Kampuni hii mpya mnamo tarehe 21/06/1999 kupitia Gazeti la Serikali No. 125A. Kampuni ilianza kazi tarehe 01/08/1999 ikiwa na mtaji wa meli 15 bila fedha yoyote.

Kampuni iliendelea kufanya kazi huku ikimiliki meli, bandari zote na miundombinu yake yote katika maziwa makuu hadi tarehe 30/06/2006.

Mnamo mwaka 2004, serikali ilianzisha Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari kupitia sheria No. 17 ya 2004. Sheria iliyoanzisha Mamlaka ya Bandari ilianza kutumika tarehe 01/07/2006.

Kutokana na mabadiliko haya baadhi ya mali za Kampuni ya Huduma za Meli ikiwemo miundombinu yote ya kibandari, meli moja, majengo ya ofisi, karakana na vyelezo katika maziwa yote makuu vilihamishiwa Mamlaka ya Bandari Tanzania.

Mabadiliko haya yalipunguza ukubwa na mali za Kampuni pamoja na baadhi ya vyanzo vyake vya mapato.

Kampuni hii kwa sasa inaendesha jumla ya meli 18 za abiria na mizigo, ambapo meli 9 ziko Ziwa Victoria, 3 ziko Ziwa Tanganyika na boti 1 pamoja na 5 ziko Ziwa Nyasa.

Meli 9 za abiria, meli 2 za mafuta, meli 3 za Mizigo, Tug 1, Tishari 2 na Boti 1 ya watalii.

Kampuni hii inaundwa na Matawi matatu; Tawi la Mwanza katika Ziwa Victoria; Tawi la Kigoma katika Ziwa Tanganyika na Tawi la Kyela Katika Ziwa Nyasa. Makao Makuu ya Kampuni yako Mwanza.

Dira na Dhamira

Dira

Kuwa Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafiri wa majini zenye ushindani, tegemeo na zenye kumjali mteja katika ukanda wa maziwa makuu.

Dhima

Kutoa huduma ya usafiri yenye kuongoza, inayotegemewa, ya uhakika, endelevu na salama kibiashara katika kuhudumia vizuri wateja wake katika maziwa ya Victoria, Tanganyika na Nyasa.

Maadili ya Msingi

Usalama, Uadilifu, Umoja, Thamani kwa Mwenye Hisa na Rafiki kwa Mazingira.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , , , , , ,

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Naitaji kusafiri na mv victoria hapa kazi tu