RATIBA raundi ya Kwanza CAF Confederation Cup 2024-2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Baada ya kukamilika Kwa raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup 2024/2025) hii hapa ni ratiba ya raundi ya Kwanza.
- Ahli Tripoli 🇱🇾 vs 🇹🇿 Simba SC
- Dadje FC 🇧🇯 vs 🇦🇱 RS Berkane
- ASC Kara 🇹🇬 vs 🇨🇮 ASEC Mimosas
- Paynesville 🇱🇷 vs 🇲🇱 Stade Malien
- Etoile Filante 🇧🇫 vs. 🇳🇬 Enyimba
- RC Abidjan 🇨🇮 vs 🇲🇱 ASC Jaraaf
- Kenya Police 🇰🇪 vs 🇪🇬 Zamalek
- Stade Tunisien 🇹🇳 vs 🇩🇿 USM Alger
- Al Hilal Benghazi 🇱🇾 vs 🇪🇬 Al Masry
- Rukinzo 🇧🇮 vs 🇹🇳 CS Sfaxien
- Stellenbosch 🇿🇦 vs 🇨🇩 Vita Club
- Lunda Sul 🇦🇴 vs 🇿🇦 Sekhukhune Utd
- Bravos Do Maquis 🇦🇴 vs 🇨🇩 Eloi Lupopo
- Black Bulls 🇲🇿 vs🇬🇶 🇨🇬 15 De Agosto/AS Otoho
- Opara 🇧🇼 vs 🇿🇼 Dynamos Harare
- Nsoatreman 🇬🇭 vs 🇩🇿 CS Constantine
Soma na hii; RATIBA raundi ya Kwanza CAF Champions League 2024-2025
Mechi hizi zitapigwa kati ya September 13-15 na kurudiana kati ya September 20-22, 2024.
Mshindi wa jumla wa michezo ya raundi ya Kwanza atafuzu hatua ya Makundi ya Michuano hiyo ya Pili Kwa ukubwa ngazi ya Vilabu Barani Afrika.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: RATIBA raundi ya Kwanza CAF Confederation Cup 2024-2025