RATIBA ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Rasmi Ligi Kuu ya Tanzania Bara Maarufu NBC Premier League msimu wa 2024/2025 imeanza Leo Agosti 16, 2024.
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza ratiba ya NBC Premier League msimu wa 204/2025 ambayo imeanza kutimua vumbi Agosti 16, 2024 kwa kuishuhudia mechi moja tu kati ya Pamba Jiji dhidi ya Tanzania Prisons na mechi hiyo kuisha Kwa sare tasa.
Je Simba na Yanga zitakutana lini kwa mara ya kwanza Msimu huu wa 2024/2025?, jibu hilo limewekwa wazi na Bodi kama ilivyoanishwa hapa chini?
Kwa mujibu wa ratiba hiyo, watani wa jadi Simba SC na Young Africans watakutana Kwa mara ya kwanza kwenye Ligi October 19, 2024 ambapo Simba SC watakuwa mwenyeji dhidi ya Yanga SC.
- Soma hii; MSIMAMO NBC Premier League 2024/2025
Ratiba hiyo pia inaonesha kuwa pazia la NBC Premier League litafungwa mnamo May kwa kushuhudia mechi nane zote zikichezwa muda mmoja saa 10:00 jioni.
RATIBA Ya NBC Premier League 2024/2025 Mzunguko wa (1️⃣)
👉August 16-2024
16:00 Pamba Jiji vs Tanzania Prisons
👉August 17-2024
16:00 Mashujaa FC vs Dodoma Jiji FC
19:00 Namungo FC vs Fountain Gate FC
👉August 18-2024
14:00 KenGold FC vs Singida Big Stars
16:15 Simba SC vs Tabora United FC
👉August 28-2024
16:00 JKT Tanzania vs Azam FC
👉August 29-2024
16:00 KMC FC vs Coastal Union FC
19:00 Kagera Sugar FC vs Young Africans
RATIBA Ya NBC Premier League 2024/2025 Mzunguko wa (2️⃣)
👉August 23-2024
16:00 Mashujaa FC vs Tanzania Prisons
👉August 24-2024
16:00 Pamba FC vs Dodoma Jiji FC
19:00 Kagera Sugar FC vs Singida Big Stars
👉August 25-2024
16:00 Simba SC vs Fountain Gate FC
19:00 Namungo FC vs Tabora United FC
👉September 25-2024
14:00 JKT Tanzania vs Coastal Union FC
16:15 KenGold FC vs Young Africans
👉September 26-2024
16:00 KMC FC vs Azam FC
RATIBA Ya NBC Premier League 2024/2025 Mzunguko wa (3️⃣)
👉September 11-2024
14:00 Tabora United vs Kgera Sugar FC
16:15 Fountain Gate vs KenGold FC
👉September 12-2024
16:00 Singida Big Stars vs KMC FC
19:00 Dodoma Jiji vs Namungo FC
👉October 21-2024
16:00 Coastal Union vs Mashujaa FC
19:00 Azam FC vs Pamba Jiji FC
👉October 22-2024
16:00 Tanzania Prisons vs Simba SC
19:00 Young Africans vs JKT Tanzania
Bonyeza hapa chini kupakua ratiba hii.
KUONA RATIBA KAMILI YA NBC PREMIER LEAGUE 2024/2024 TAFADHALI BOFYA HAPA
Pia unaweza kutamza hapa Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc 2024/2025
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ratiba NBC Premier League Fixture 2024/2025, RATIBA ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025, Ratiba Ya Ligi Kuu ya NBC Premier League 2024/2025, Tanzania Premier League Fixture 2024/2025, TPL Fixture 2024/25.