RATIBA ya Mechi za Leo Jumatatu February 26-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
RATIBA ya Mechi za Leo Jumatatu February 26-2024
RATIBA ya Mechi za Leo Jumatatu February 26-2024,Ratiba ya michezo ya leo Jumatatu tarehe 26 February 2024, Ratiba ya Mechi za Simba leo, Ratiba ya Mechi za Yanga leo, ratiba za ligi kuu tanzania Bara 2023/2024,Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League,Ratiba ya Mechi za Leo 26 February 2024.
👉England – Premier League
23:00 West Ham United vs Brentford
👉Spain – Laliga
23:00 Girona vs Rayo Vallecano
👉Italy – Serie A
20:30 Roma vs Torino
22:45 Fiorentina vs Lazio
👉England – FA Cup: Round 5
22:45 Coventry City vs Maidstone United
👉Turkiye – Super Lig
20:00 Galatasaray vs Antalyaspor
👉Portugal – Primeira Liga
23:15 Boavista vs SC Braga
👉Saudi Arabia – Saudi Professional League
17:00 Al Ettifaq vs Al Hilal
20:00 Al Ittihad vs Al Wehda
👉Spain – Laliga 2
22:30 Mirandes vs SD Huesca
👉Netherlands – Eerste Divisie
22:00 Jong Ajax vs Telstar
22:00 Jong AZ Alkmaar vs NAC Breda
22:00 Jong FC Utrecht vs TOP Oss
22:00 Jong PSV vs FC Dordrecht
👉France – Ligue 2
22:45 Caen vs Angers
👉Israel – Premier League
21:00 Maccabi Bnei Reineh vs Hapoel Petah Tikva
👉India – Super League
17:00 East Bengal Club vs Chennaiyin FC
👉Egypt – Premier League
17:00 El Gounah vs Ismaily SC
17:00 ZED FC vs ENPPI
20:00 Al Mokawloon Al Arab vs Al Masry
👉Burkina Faso – Ligue 1
19:00 AS Faso/Yennenga vs Racing Club Bobo
19:00 ASF Bobo-Dioulasso vs AS Douanes Ouagadougou
21:15 Etoile Filante vs Salitas
👉Saudi Arabia – 1st Division
16:00 Al Kholood vs Al Arabi
18:15 Al Safa vs Al Ain
19:00 Jeddah vs Al Jabalain
Kuhusu Mpira wa Miguu.
Mpira wa Miguu, Soka au Kandanda ni Mchezo unaochezwa na jumla ya wachezaji ishirini na wawili katika timu mbili, kila timu ikiwa na wachezaji kumi na mmoja (11).
Lengo hasa la mchezo huu ni wachezaji kuumiliki mpira kwa kutumia miguu na kufunga goli, yaani kuuingiza mpira katika wavu wa wapinzani mara nyingi zaidi.
Matumizi ya mikono ni marufuku isipokuwa kwa mlinda mlango katika eneo maalumu na wakati wa kurudisha mpira baada ya kutoka nje ya uwanja.
Historia
Michezo mbalimbali ya kuchezea mpira inaweza kupatikana katika kila uwanja wa jiografia na historia. Wachina, Wajapani, Wakorea na Waitalia, wote hao walikuwa wakicheza mpira zamani kabla ya enzi zetu.
Wagiriki na Waromania walitumia michezo hiyo kuwaandaa wapiganaji kabla ya vita.
Hata hivyo, ni nchini Uingereza ambapo umbo la soka la kisasa lilianza kulipuka.
Ilianza wakati mashirikisho mawili (Shirikisho la Mpira wa miguu na Mpira wa Ragbi) yalipotawanyika. Shirikisho la kwanza lilibakia Uingereza.
Mnamo Oktoba 1963, Vilabu 11 vya London vilituma wawakilishi katika mkutano wa Freemasons ili kujadili na kuweka kanuni zilizokubalika kusimamia mechi zilizochezwa kati yao.
Mkutano huu ulipelekea kuanzisha kwa Shirikisho la Kandanda (Football Association).
Miongoni mwa kanuni zilizowekwa ni zile za kukataa utumiaji wa mikono kushika mpira na kunyang’anyana kwa nguvu. Soka na Ragbi zilifarakana tarehe hiyo.
Miaka minane baada ya kuanzishwa, Shirikisho la Kandanda (FA) lilikuwa na wanachama 50. Shindano la kwanza la kandanda – Kombe la FA – lilianza mwaka huo, likifuatiwa na lile la Ligi ya Ubingwa miaka 17 baadaye.
Wachezaji wawili wa Klabu ya Darwin, John Dove na Fergus Suter walikuwa wa kwanza kulipwa kwa mchezo wao. Kitendo hiki kilikuwa mwanzo wa soka la kulipwa iliyohalalishwa mwaka wa 1885.
Mwamko huu ulipelekea kuanzishwa kwa Mashirikisho ya kitaifa nje ya Uingereza (Great Britain). Baada ya Shirikisho la Kandanda la Uingereza, Mashirikisho yaliyofuatia ni ya Uskoti (1873), Wales (1875) na Eire (1880).
Kutokana na ushawishi mkuu wa Uingereza katika mataifa ya dunia, soka ilisambaa kote duniani.
Mataifa mengine mengi yalianzisha Mashirikisho ya Kandanda kufikia 1904 wakati Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) lilipoanzishwa. Tangu hapo, kandanda ya kimataifa imekuwa ikikua licha ya vikwazo mbalimbali.
Kufikia 1912, FIFA ilikuwa na uanachama wa mashirikisho 21, idadi iliyoongezeka na kufikia 36 mwaka 1925.
Kufikia 1930 – mwaka ambapo kwa mara ya kwanza kulikuwa na mashindano ya Kombe La Dunia, FIFA ilikuwa na wanachama 41. Idadi hii ilizidi kuongezeka na kufika 51 mnamo 1938 na 76 kufikia 1950.
Baada ya Kongamano la FIFA la mwaka 2000, kulikuwa na wanachama 204 na idadi hii inazidi kukua kila mwaka.
Kanuni
Uwanja
Uwanja una umbo la mstatili. Hakuna kipimo kamili, ila kanuni zinasema urefu ni baina ya mita 90 na 120, upana baina ya mita 45 na 90. Kwa michezo ya kimataifa urefu uwe baina ya mita 100 – 110 na upana baina ya mita 64 na 75.
Goli ziko kwenye pande fupi zaidi. Kuna alama ya bendera kwenye kona za uwanja. Mwaka 2008 IFAB ilijaribu kusanifisha vipimo kuwa mita 105 kwa 68, lakini kanuni hii ilisimamishwa baadaye.
Mstari ni mpaka wa uwanja. Wakati mpira uko kwenye mstari hata kwa kiasi kidogo unahesabiwa bado uko ndani ya uwanja. Kwa goli kukubaliwa sharti mpira uwe umepita mstari wa goli kabisa.
Mpangilio wa wachezaji
Mfumo wa 4-4-2 umekuwa maarufu miongoni mwa timu nyingi. Mfumo huu hujumlisha walinzi wanne pamoja na mlinda lango, wachezaji wanne wa kiungo na wawili wa mbele. mshambuluaji lazima akawa mtu mwenye ujuzi mkubwa na mwenye nguvu za kushambulia.
Utunukizi wa Alama
Katika ligi za kitaifa na kimataifa, alama hutunukiwa kwa timu baada ya mchezo. Timu iliyoshinda hupewa alama tatu huku timu zilizotoka sare hupewa alama moja kila moja.
Ikiwa ni lazima mshindi apatikane, hasa kwenye mechi za fainali, mchezo huwa na muda wa ziada kama timu hizo ziko sare. Iwapo sare hiyo huendelea mchezo huamuliwa kwa mikwaju ya penalty.
Shirikisho la Kandanda Duniani
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ratiba ya Mechi za Leo 26 February 2024., RATIBA ya Mechi za Leo Jumatatu February 26-2024, Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League, Ratiba ya Mechi za Simba leo, Ratiba ya Mechi za Yanga leo, Ratiba ya michezo ya leo Jumatatu tarehe 26 February 2024, ratiba za ligi kuu tanzania Bara 2023/2024