RATIBA ya Mechi za Simba mwezi February 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
RATIBA ya Mechi za Simba mwezi February 2024
RATIBA ya Mechi za Simba mwezi February 2024,Mechi za Simba mwezi huu wa Pili,Ratiba ya mechi za Simba Ligi kuu,Ratiba ya mechi za leo 2024,Ratiba ya Mechi Za Simba zinazofuata,ratiba ya mechi za simba February 2023/2024, ratiba ya nbc premier league 2023/24.
Klabu ya Simba SC inatarajiwa kucheza michezo nane (8) mwezi February 2024, ikiwa mechi 6 ni za kukamilisha raundi ya kwanza na Kuanza raundi ya Pili Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League 2023/2024).
Mechi 1 ni ya CAF Champions League 2023/2024 hatua ya Makundi na nyingine ni ya Azam Sports Federation Cup hatua ya 32 Bora.
RATIBA Kamili ya Mechi za Simba mwezi February 2024
➡️ February 03,2024
1️⃣1️⃣16:00 Mashujaa vs Simba SC
➡️ February 06-2024
1️⃣2️⃣16:00 Tabora United vs Simba SC
➡️ February 09-2024
1️⃣3️⃣TBA Simba SC vs Azam FC
➡️ February 12-2024
1️⃣4️⃣16:00 Geita Gold vs Simba SC
➡️February 15-2024
1️⃣5️⃣18:30 JKT Tanzania FC vs Simba SC
➡️February 18, 2024
1️⃣6️⃣TBA TBA Simba SC vs Mtibwa Sugar
➡️ TBA
TBA Simba SC vs TRA Kilimanjaro
➡️February 24, 2024
TBA ASEC Mimosas vs Simba SC
Ratiba ya mechi za Simba,Ratiba ya mechi za Simba NBC Premier League, ratiba ya simba February 2024, Mechi za Simba zilizobaki 2024, Ratiba ya mechi za leo NBC,ratiba ya nbc premier league 2023/24.
Simba SC vs JKT Tanzania FC,Simba vs Geita Gold FC,Simba SC vs Azam FC,Simba vs Tabora United,Simba SC vs Mashujaa FC, Simba Sports Club vs Mtibwa Sugar, Simba Sports Club vs Azam FC, Simba vs Geita Gold FC, Simba vs Mashujaa fc.
Simba S.C. matches,Simba sc fixtures,Simba match today, Simba live match today, simba s.c players, Simba sc today, simba line up today, Simba leo, Simba sc live score.
Simba Sports Club ni timu ya soka iliyo na makao makuu katika mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo ilianzishwa mwaka 1936, ikiitwa kwanza Eagles na baadaye tena iliitwa Dar Sunderland.
Mwaka 1971 ikaibadilisha jina lake kabisa na kuitwa, Simba Sport Club (ambalo linamaanisha Lion kwa Kiinɡereza).
Simba Sports Club ni mojawapo ya timu kubwa ya mpira wa miguu nchini Tanzania, wapinzani wao wakubwa ni Younɡ Africans.
Simba ni Mabingwa wa taifa mara 18 tena ni Mabingwa mara 6 katika kombe la Kagame.
Mechi zao za nyumbani zinachezwa kwenye viwanja viwili, Uwanja wa Uhuru na Uwanja wa Taifa.
Mabadiliko ya utawala
Kuhusu Utawala
Simba Sports Club imebadilisha utawala au usimamizi wake kutoka kutawaliwa na mashabiki na badala yake kusimamiwa na mwanahisa aitwae Mohammed Gulam Dewji.
Katika muundo huu wa utawala wa Simba Sports Club imeuza hisa zake 49% kwa Mohammed Gulam Dewji huku wanachama wa Simba wakibakiwa na 51%.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Mechi za Simba mwezi huu wa Pili, Ratiba ya mechi za leo 2024, ratiba ya mechi za simba February 2023/2024, Ratiba ya mechi za Simba Ligi kuu, RATIBA ya Mechi za Simba mwezi February 2024, Ratiba ya Mechi Za Simba zinazofuata, ratiba ya nbc premier league 2023/24