RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RATIBA ya Mechi za Simba zilizobaki 2023/2024

Filed in Michezo by on 19/05/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

RATIBA ya Mechi za Simba zilizobaki 2023/2024

RATIBA ya Mechi za Simba zilizobaki 2023/2024,Ratiba ya Mechi za Simba NBC Premier League 2023/2024, Ratiba Mechi Zote Za Simba Ligi Kuu NBC Premier League 2023/2024,ratiba ya Mechi za Simba mwezi April 2024,Ratiba ya Mechi za Simba mwezi May 2024,Ratiba mechi za Simba Ligi kuu NBC Premier League 2023/2024,Ratiba ya Mechi za Simba CAF,Ratiba ya Simba leo,Mechi za Simba mwezi huu,Matokeo ya mechi za Simba,Ratiba ya Mechi za Yanga,Ratiba ya Mechi za Leo NBC,ratiba ya simba caf 2023/24,Simba inacheza lini Ligi kuu,Ratiba ya Yanga NBC,Mechi ya simba leo live,Ratiba ya Simba club Bingwa 2024,Ratiba ya Simba Super cup.

RATIBA ya Mechi za Simba zilizobaki 2023/2024

RATIBA ya Mechi za Simba zilizobaki 2023/2024,Ratiba ya Mechi za Simba NBC Premier League 2023/2024, Ratiba Mechi Zote Za Simba Ligi Kuu NBC Premier League 2023/2024,ratiba ya Mechi za Simba mwezi April 2024,Ratiba ya Mechi za Simba mwezi May 2024,Ratiba mechi za Simba Ligi kuu NBC Premier League 2023/2024.

Ligi Kuu ya Tanzania Bara Msimu wa 2023/2024 (NBC Premier League) inaendelea ambapo imefika raundi ya 21 na raundi inayofuata ni ya 22.

Kuelekea mwisho wa msimu Nijuze Habari imekuandalia Ratiba Kamili ya Michezo ya Klabu ya Simba Spots Club iliyobaki.

Aidha Ligi Kuu ya NBC Msimu wa 2023/2024 inatarajiwa kuhitimishwa May 28-2024 Kwa michezo yote kuchezwa muda mmoja ambao ni saa 10:00 jioni.

RATIBA Kamili ya Mechi za Simba SC zilizobaki kwenye Ligi Kuu ya NBC 2023/2024

👉April 13-2024
16:00 Singida Black Stars vs Simba SC

👉April 20-2024
17:00 Young Africans vs Simba SC

👉April 24-2024
20:15 Simba SC vs KVZ FC ( Muungano Cup)

👉April 27-2024
20:15 Simba SC vs Azam FC ( Muungano Cup)

👉April 30-2024
18:00 Namungo FC vs Simba SC

👉May 03-2024
TBA Simba SC vs Mtibwa Sugar FC

👉May 06-2024
18:15 Simba SC vs Tabora United

👉May 09-2024
18:15 Simba SC vs Azam FC

👉May 12-2024
16:00 Kagera Sugar vs Simba SC

👉May 17-2024
16:00 Dodoma Jiji vs Simba SC

👉May 21-2024
19:00 Simba vs Geita Gold

👉May 25-2024
16:00 Simba SC vs KMC FC

👉May 28-2024
16:00 Simba SC vs JKT Tanzania

RATIBA ya Mechi za Simba zilizobaki 2023/2024


Simba Sports Club ni klabu ya soka inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania yenye maskani yake mtaa wa Kariakoo Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania.

Klabu hiyo Ilianzishwa mwaka wa 1936 kama ikiitwa Sunderland na mwaka 1971 ikabadilishwa jina na kuitwa Simba SC, Jina la utani la timu hiyo, (Wekundu wa Msimbazi), ni kumbukumbu ya watani wao wote wenye wekundu na Mtaa wa Msimbazi uliopo Kariakoo yalipo maskani yao.

Wingi wa Mashabiki wa Simba Sports Club ni moja kati ya klabu kubwa nchini Tanzania huku wachezaji wengine wakiongozwa na mkali Isaac Beck.

Simba SC imeshinda mataji 22 ya Ligi Kuu na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi.

Pia ni miongoni mwa vilabu vikubwa Afrika Mashariki na Kati, baada ya kutwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.

Simba ikicheza mechi zake za nyumbani hutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo kata ya Miburani Wilaya ya Temeke kama Uwanja wao wa nyumbani.

Klabu hiyo iliorodheshwa kati ya vilabu kumi bora barani Afrika ikishika nambari 10, na Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Kandanda na Takwimu (IFFHS) katika viwango vyao vya Mei 1, 2022 – Aprili 30, 2023.

Ulimwenguni, klabu iliorodheshwa katika nambari 105 katika Orodha ya Dunia ya IFFHS.

Klabu hii ni mojawapo ya matajiri zaidi katika Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya TSh 6.1 bilioni (sawa na $5.3 milioni) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , ,

Comments are closed.