SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


RATIBA ya Mechi za Yanga zilizobaki 2023/2024

Filed in Michezo by on 17/05/2024 0 Comments

RATIBA ya Mechi za Yanga zilizobaki 2023/2024

RATIBA ya Mechi za Yanga zilizobaki 2023/2024,Ratiba ya Mechi za Yanga NBC Premier League 2023/2024, Ratiba Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu NBC Premier League 2023/2024,ratiba ya Mechi za Yanga mwezi April 2024,Ratiba ya Mechi za Yanga mwezi May 2024,Ratiba mechi za Yanga Ligi kuu NBC Premier League 2023/2024,Ratiba ya Mechi za Yanga CAF,Ratiba ya Mechi za Leo NBC,Ratiba ya Yanga kimataifa,Ratiba ya Mechi ya Yanga leo CAF, Mechi za Yanga kimataifa,Ratiba ya Simba,Mechi za Yanga mzunguko wa pili, Mechi 5 zijazo za Yanga,Mechi ya yanga leo Live,Yanga anacheza lini Ligi Kuu,Mechi ya yanga leo live Azam TV,ratiba ya yanga caf 2023/24.

RATIBA ya Mechi za Yanga zilizobaki 2023/2024

RATIBA ya Mechi za Yanga zilizobaki 2023/2024,Ratiba ya Mechi za Yanga NBC Premier League 2023/2024, Ratiba Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu NBC Premier League 2023/2024,ratiba ya Mechi za Yanga mwezi April 2024,Ratiba ya Mechi za Yanga mwezi May 2024,Ratiba mechi za Yanga Ligi kuu NBC Premier League 2023/2024.

Ligi Kuu ya Tanzania Bara Msimu wa 2023/2024 (NBC Premier League) inaendelea ambapo imefika raundi ya 21 na raundi inayofuata ni ya 22.

Kuelekea mwisho wa msimu Nijuze Habari imekuandalia Ratiba Kamili ya Michezo ya Klabu ya Yanga Spots Club iliyobaki.

Aidha Ligi Kuu ya NBC Msimu wa 2023/2024 inatarajiwa kuhitimishwa May 28-2024 Kwa michezo yote kuchezwa muda mmoja ambao ni saa 10:00 jioni.

RATIBA Kamili ya Mechi za Yanga SC zilizobaki kwenye Ligi Kuu ya NBC 2023/2024

👉April 14-2024
16:00 Singida FG vs Young Africans

👉April 20-2024
17:00 Young Africans vs Simba SC

👉April 24-2024
16:00 JKT Tanzania vs Young Africans

👉April 27-2024
18:00 Young Africans vs Coastal Union FC

👉May 01-2024
20:30 Yanga vs Tabora United (CRDB Bank Federation Cup)

👉May 05-2024
16:00 Mashujaa FC vs Young Africans

👉May 08-2024
19:00 Young Africans vs Kagera Sugar FC

👉May 13-2024
16:00 Mtibwa Sugar vs Young Africans

👉May 19-2024
15:30 Ihefu SC vs Young Africans (CRDB Bank Federation Cup)

👉May 22-2024
16:00 Dodoma Jiji vs Young Africans

👉May 25-2024
16:00 Young Africans vs Tabora United

👉May 28-2024
16:00 Young Africans vs Tanzania Prisons

RATIBA ya Mechi za Yanga zilizobaki 2023/2024

Young Africans Sports Club (inayojulikana sana kama Yanga) ni klabu ya soka inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania yenye maskani yake mtaa wa Jangwani Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania.

Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1935, inacheza michezo yake ya nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo kata ya Miburani Wilaya ya Temeke.

Imepewa jina la utani la Yanga Timu ya Wananchi, klabu hii imeshinda mataji 29 ya Ligi Kuu ya Tanzania na idadi ya vikombe vya nyumbani, na imeshiriki mara nyingi Ligi ya Mabingwa Afrika CAF.

Wameshinda Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara tano. Klabu hiyo iliorodheshwa kati ya vilabu kumi bora barani Afrika, katika nambari ya 3, na Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) katika viwango vyao vya 1 Septemba 2023 – 30 Agosti 2023.

Ulimwenguni, klabu iliorodheshwa katika nambari 104 katika Orodha ya Dunia ya IFFHS.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *