RATIBA ya Mechi zilizosalia Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
RATIBA ya Mechi zilizosalia Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
RATIBA ya Mechi zilizosalia Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024, Msimamo ligi kuu ya wanawake tanzania,Ratiba ya Ligi ya Wanawake Tanzania,Matokeo ligi ya wanawake Tanzania,ligi ya wanawake tanzania 2023/2024.
Ligi Kuu ya Wanawake ya Tanzania, Maarufu Tanzania Women’s Premier League (TWPL), ni ligi kuu ya soka ya wanawake nchini Tanzania.
Kuelekea mwisho wa msimu Nijuze Habari imekuandalia Ratiba Kamili ya Michezo iliyosalia ya Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2023/2024.
Ligi Kuu hiyo Msimu wa 2023/2024 inatarajiwa kuhitimishwa May 24-2024 Kwa michezo yote kuchezwa muda mmoja.
RATIBA Kamili ya Mechi zilizobaki Ligi Kuu ya Wanawake, Tanzania Women’s Premier League (TWPL) 2023/2024
Ratiba raundi ya 10 Tanzania Women’s Premier League 2023/2024
👉April 15-2024
16:00 JKT Queens vs Bunda Queens
16:00 Ceasiaa Queens vs Simba Queens
16:00 Geita Gold Queens vs Alliance Girls
16:00 Amani Queens vs Fountain Gate Princess
16:00 Yanga Princess vs Baobab Queens
Ratiba raundi ya 11 Tanzania Women’s Premier League 2023/2024
👉April 19-2024
16:00 Amani Queens vs Yanga Princess
16:00 Ceasiaa Queens vs Fountain Gate Princess
16:00 Alliance Girls vs Bunda Queens
16:00 JKT Queens vs Geita Gold Queens
16:00 Baobab Queens vs Simba Queens
Ratiba raundi ya 12 Tanzania Women’s Premier League 2023/2024
👉April 24-2024
16:00 Fountain Gate Princess vs Alliance Girls
16:00 Bunda Queens vs Baobab Queens
16:00 Geita Gold Queens vs Ceasiaa Queens
16:00 JKT Queens vs Amani Queens
👉April 25-2024
16:00 Yanga Princess vs Simba Queens
Ratiba raundi ya 13 Tanzania Women’s Premier League 2023/2024
👉April 29-2024
16:00 Simba Queen vs JKT Queens
16:00 Geita Gold Queens vs Baobab Queens
16:00 Alliance Girls vs Amani Queens
👉April 30-2024
16:00 Yanga Princess vs Fountain Gate Princess
16:00 Bunda Queens vs Ceasiaa Queens
Ratiba raundi ya 14 Tanzania Women’s Premier League 2023/2024
👉May 05-2024
16:00 Alliance Girls vs JKT Queens
16:00 Simba Queen vs Amani Queens
16:00 Bunda Queens vs Geita Gold Queens
16:00 Ceasiaa Queens vs Yanga Princess
16:00 Fountain Gate Princess vs Baobab Queens
Ratiba raundi ya 15 Tanzania Women’s Premier League 2023/2024
👉May 09-2024
16:00 Simba Queen vs Bunda Queens
16:00 Amani Queens vs Ceasiaa Queens
16:00 Fountain Gate Princess vs Geita Gold Queens
👉May 10-2024
16:00 Baobab Queens vs Alliance Girls
16:00 JKT Queens vs Yanga Princess
Ratiba raundi ya 16 Tanzania Women’s Premier League 2023/2024
👉May 15-2024
16:00 Bunda Queens vs Yanga Princess
16:00 Alliance Girls vs Simba Queens
16:00 Baobab Queens vs Ceasiaa Queens
16:00 JKT Queens vs Fountain Gate Princess
16:00 Geita Gold Queens vs Amani Queens
Ratiba raundi ya 17 Tanzania Women’s Premier League 2023/2024
👉May 20-2024
16:00 Simba Queen vs Fountain Gate Princess
16:00 Alliance Girls vs Ceasiaa Queens
16:00 Bunda Queens vs Amani Queens
16:00 Geita Gold Queens vs Yanga Princess
16:00 Baobab Queens vs JKT Queens
Ratiba raundi ya 18 Tanzania Women’s Premier League 2023/2024
👉May 24-2024
16:00 Fountain Gate Princess vs Bunda Queens
16:00 Amani Queens vs Baobab Queens
16:00 Ceasiaa Queens vs JKT Queens
16:00 Yanga Princess vs Alliance Girls
16:00 Simba Queen vs Geita Gold Queens
Mashindano haya yanasimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Ligi hiyo ya wanawake ya Tanzania Bara ilichezwa Kwa mara ya Kwanza msimu wa 2016-17.
Mshindi wa wa kwanza kubeba Ubingwa wa Ligi hiyo alikuwa Mlandizi Queens.
TFF ndiyo Inasimamia uendeshaji wa mfumo wa ligi ya soka ya Tanzania, timu ya taifa ya soka ya Tanzania, na timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania.
TFF Ilianzishwa mwaka wa 1945 na imekuwa ikishirikiana na FIFA tangu 1964.Wallace Karia ndiye Rais wa sasa wa Shirikisho la Soka Tanzania kuanzia 2017.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: ligi ya wanawake tanzania 2023/2024., Matokeo ligi ya wanawake Tanzania, Msimamo ligi kuu ya wanawake tanzania, Ratiba ya Ligi ya Wanawake Tanzania, RATIBA ya Mechi zilizosalia Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024