RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

Filed in Michezo by on 10/06/2024 0 Comments

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024,Ratiba ya ngao ya jamii 2024/2025,Ratiba ya ngao ya jamii Leo 2024,Simba vs Yanga Ngao ya Jamii 2024, Azam FC vs Coastal Union Ngao ya Jamii 2024,NBC Premier League Leo,Azam FC vs Coastal Union Leo live, Yanga vs Simba Leo Live.

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024,Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2024/2025) umepangwa kuanza rasmi Agosti 8, 2024.

Ngao ya Jamii inachezwa kama Mtoano au Nusu Fainali, ambapo timu 4 za juu kwenye Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 zitashiriki kuwania Kombe la Ngao ya Jamii 2024.

Michuano hiyo hufanyika Kila Mwaka ikiashiria Ufunguzi wa Msimu Mpya wa Ligi Kuu ya NBC.

Hizi hapa ni timu 4 zitakazoshiriki kuwania Kombe hilo la Ngao ya Jamii 2024.

✅Young Africans
✅Azam FC
✅Simba SC na
✅Coastal Union FC

Mfumo utakaotumika kumpata Bingwa na Ratiba kamili tumekuwekea hapa chini;

Kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara, michezo ya Ngao ya Jamii itazikutanisha timu 4 ambapo Bingwa wa Ligi Kuu msimu wa nyuma (yaani msimu huu) atacheza na mshindi wa tatu (3) wakati mshindi wa pili (2) atakutana na mshindi wa nne (4).

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024,Ratiba ya ngao ya jamii 2024/2025,Ratiba ya ngao ya jamii Leo 2024,Simba vs Yanga Ngao ya Jamii 2024, Azam FC vs Coastal Union Ngao ya Jamii 2024,NBC Premier League Leo,Azam FC vs Coastal Union Leo live, Yanga vs Simba Leo Live.

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

Kufuatia Mfumo huo hii hapa ni ratiba Kamili ya Ngao ya Jamii 2024 hatua ya Nusu Fainali.

Nusu Fainali ya Kwanza itakuwa kati ya Young Africans dhidi ya Simba SC, huku Nusu Fainali ya Pili itakuwa Kati ya Azam FC dhidi ya Coastal Union FC kwenye Viwanja vitakavyotajwa.

Ratiba Kamili ya Fainali Ngao ya Jamii 2024 

Mshindi wa Nusu Fainali ya Kwanza (Young Africans vs Simba) atacheza Fainali dhidi ya Mshindi wa Fainali ya Pili (Azam FC vs Coastal Union) tarehe 11 mwezi August 2024 kwenye Uwanja utakaotajwa.

Ratiba Kamili ya kutafuta Mshindi wa tatu Ngao ya Jamii 2024

Aidha timu mbili zitakazopoteza kwenye mechi za Nusu Fainali zitakutana katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu tarehe 10 August 2024.

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *