RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

Filed in Michezo by on 18/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024,Ratiba ya ngao ya jamii 2024/2025,Ratiba ya ngao ya jamii Leo 2024,Simba vs Yanga Ngao ya Jamii 2024, Azam FC vs Coastal Union Ngao ya Jamii 2024,NBC Premier League Leo,Azam FC vs Coastal Union Leo live, Yanga vs Simba Leo Live.

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024,Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2024/2025) umepangwa kuanza rasmi Agosti 8, 2024.

Ngao ya Jamii inachezwa kama Mtoano au Nusu Fainali, ambapo timu 4 za juu kwenye Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 zitashiriki kuwania Kombe la Ngao ya Jamii 2024.

Aidha michuano hiyo hufanyika Kila Mwaka ikiashiria Ufunguzi wa Msimu Mpya wa Ligi Kuu ya NBC.

Hizi hapa ni timu 4 zitakazoshiriki kuwania Kombe hilo la Ngao ya Jamii 2024.

✅Young Africans
✅Azam FC
✅Simba SC na
✅Coastal Union FC

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024,Ratiba ya ngao ya jamii 2024/2025,Ratiba ya ngao ya jamii Leo 2024,Simba vs Yanga Ngao ya Jamii 2024, Azam FC vs Coastal Union Ngao ya Jamii 2024,NBC Premier League Leo,Azam FC vs Coastal Union Leo live, Yanga vs Simba Leo Live.

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

Mfumo utakaotumika kumpata Bingwa na Ratiba kamili tumekuwekea hapa chini;

Kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara, michezo ya Ngao ya Jamii itazikutanisha timu 4 ambapo Bingwa wa Ligi Kuu msimu wa nyuma (yaani msimu huu) atacheza na mshindi wa tatu (3) wakati mshindi wa pili (2) atakutana na mshindi wa nne (4).

Kufuatia Mfumo huo hii hapa ni ratiba Kamili ya Ngao ya Jamii 2024 hatua ya Nusu Fainali.

Ratiba Kamili ya Fainali Ngao ya Jamii 2024

Mshindi wa Nusu Fainali ya Kwanza (Young Africans vs Simba) atacheza Fainali dhidi ya Mshindi wa Fainali ya Pili (Azam FC vs Coastal Union) tarehe 11 mwezi August 2024 kwenye Uwanja Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam.

Ratiba Kamili ya kutafuta Mshindi wa tatu Ngao ya Jamii 2024

Aidha timu mbili zitakazopoteza kwenye mechi za Nusu Fainali zitakutana katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu tarehe 11  August 2024.

RATIBA YA NUSU FAINALI NGAO YA JAMII 2024

👉August 08-2024
16:00 Azam FC vs Coastal Union (New Amaan Complex, Zanzibar)

August 08-2024
👉19:00 Yanga SC vs Simba SC (Benjamin Mkapa Stadium, Dar Es Salaam)

RATIBA YA MSHINDI WA TATU 2024

👉August 11-2024
15:00 Azam/Coastal vs Yanga/Simba (Benjamin Mkapa Stadium, Dar Es Salaam)

RATIBA YA FAINALI NGAO YA JAMII 2024

👉August 11-2024
19:00 (Benjamin Mkapa Stadium, Dar Es Salaam)

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024,Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2024/2025) umepangwa kuanza rasmi Agosti 8, 2024.

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , ,

Comments are closed.