RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RATIBA ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2023/24

Filed in Michezo by on 19/05/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

RATIBA ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2023/24

RATIBA ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2023/24, Timu Zilizofuzu Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2023/2024, Ratiba Nusu Fainali CRDB Federation Cup 2024, Ratiba ya Mechi za Robo Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024,Crdb cup fixtures,Crdb federation cup fixtures,Crdb federation cup results.

RATIBA ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2023/24

RATIBA ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2023/24, Timu Zilizofuzu Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2023/2024, Ratiba Nusu Fainali CRDB Federation Cup 2024, Ratiba ya Mechi za Robo Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024.

Mchezo wa Kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la TFF Maarufu CRDB Bank Federation Cup kati ya Coastal Union dhidi ya Azam FC umepangwa kuchezwa May 18 katika uwanja wa CCM Kirumba, Jijini Mwanza.

Mchezo wa Nusu Fainali ya Pili ya Michuano hiyo kati ya Ihefu SC dhidi ya Young Africans utachezwa May 19 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha.

Aidha Mchezo wa Fainali unatarajiwa kuchezwa June 02-2024.

Ratiba Kamili ya Nusu Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2023/2024.

👉18 May 2014
15:30 Coastal Union FC vs Azam FC

👉19 May 2024
15:30 Ihefu SC vs Young Africans

CRDB Bank Federation Cup, CRDB Bank Federation Cup 2024, FA CUP, Kombe La Shirikisho La CRDB Bank.

The Tanzania FA Cup (also called the Azam Sports Federation Cup) is the top knockout tournament of the Tanzanian football.

Tanzania FA Cup
Founded 1974
Current champions Young Africans
Most successful club(s) Simba SC (6 times)
Website www.habari.go.tz
 2017–18 Tanzania FA Cup

Previously, the Nyerere Cup was the top knockout tournament. It was created in 1974 and was contested by teams from both Tanzania mainland and the Isles of Zanzibar.

Winners

Nyerere Cup
  • 1974 : JKU FC (Zanzibar)
  • 1975 : Young Africans FC (Dar es Salaam)
  • 1976 : Rangers International (Dar es Salaam)
  • 1977 : KMKM (Zanzibar)
  • 1978 : Pan African FC (Dar es Salaam)
  • 1979 : Pan African FC (Dar es Salaam)
  • 1980 : Coastal Union (Tanga)
  • 1981 : Pan African FC (Datr-es-Salaam)
  • 1982 : KMKM (Zanzibar)
  • 1983 : KMKM (Zanzibar)
  • 1984 : Simba SC (Dar es Salaam)
  • 1985 : Miembeni SC (Zanzibar)
  • 1986 : Miembeni SC (Zanzibar)
  • 1987 : Miembeni SC (Zanzibar)
  • 1988 : Coastal Union (Tanga)
  • 1989 : Pamba FC (Mwanza)
  • 1990 : Small Simba SC (Zanzibar)
  • 1991 : Railways SC (Morogoro)
  • 1992 : Pamba FC (Mwanza)
  • 1993 : Malindi FC (Zanzibar)
  • 1994 : Young Africans FC (Dar es Salaam)
  • 1995 : Simba SC (Dar es Salaam)
  • 1996 : Sigara SC (Dar es Salaam)
  • 1997 : Tanzania Stars (Dar es Salaam)
  • 1998 : Tanzania Stars (Dar es Salaam) 2-1 Prisons SC (Mbeya)
  • 1999 : Young Africans FC (Dar es Salaam)
  • 2000 : Simba SC (Dar es Salaam)
  • 2001 : Polisi (Zanzibar) 2-0 Young Africans FC (Dar es Salaam)
  • 2002 : JKT Ruvu Stars (Coast Region) 1-0 KMKM (Zanzibar)
Tanzania FA Cup
  • 2015–16: Young Africans FC (Dar es Salaam) 3–1 Azam F.C.
  • 2016–17: Simba SC (Dar es Salaam) 2–1 (aet) Mbao FC
  • 2017–18: Mtibwa Sugar F.C. 3–2 Singida United F.C.
  • 2018–19: Azam F.C.
  • 2019–20: Simba SC
  • 2020–21: Simba SC
  • 2021–22: Young Africans FC (Dar es Salaam)

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.