RATIBA ya Tanzania Kufuzu AFCON 2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘l(Taifa Stars) kinaendelea na maandalizi kwaajili ya mechi mbili za kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 itakayofanyika nchini Morocco.
Tanzania ipo kundi S ikiwa pamoja na DR Congo, Ethiopia pamoja na Guinea.
Katika mechi mbili za maandalizi Tanzania itacheza na Ethiopia Katika mchezo wa Kwanza Septemba 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Kuanzia Saa 1:00 Usiku.
Baada ya mechi hiyo Tanzania itasafiri hadi nchini Guinea kwaajili ya mchezo wa pili utakaopigwa Septemba 10-2024.
Viingilio vya mchezo dhidi ya Ethiopia ni Tsh 2,000 Kwa Mzunguko na 5,000 Kwa VIP B na C.
Septemba 4, 2024 – Tanzania vs Ethiopia
Septemba 10, 2024 – Guinea vs Tanzania
Oktoba 7-15, 2024 – DR Congo vs Tanzania
Oktoba 7-15, 2024 – Tanzania vs Guinea
Novemba 11-19, 2024 – Ethiopia vs Tanzania
Novemba 11-19, 2024 – Tanzania vs DR Congo