RATIBA ya Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPAÂ WHATSAPP BOFYA HAPA
RATIBA ya Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026
RATIBA ya Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026,FIFA World Cup African qualifiers, Ratiba ya Group E Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Ratiba ya Group FIFA World Cup African qualifiers.
Timu ya Taifa ya Tanzania (TaifaStars), imepangwa Kundi E katika makundi ya kufuzu Kushiriki Michuano ya Kombe la Dunia ya mwaka 2026
Katika Droo iliyochezeshwa makundi 9 yenye timu 6 yamepangwa, Tanzania ipo Kundi moja na timu za Taifa za Zambia, Morocco, Congo, Niger na Eritrea
Mechi za Kufuzu zitaanza Novemba 2023, na Washindi wa kila Kundi watafuzu moja kwa moja kwenda kushiriki Kombe la Dunia katika nchi za Canada, Mexico na Marekani
Timu 4 bora zilizoshika nafasi ya pili (Kutoka Makundi) zitacheza mechi za mtoano za CAF.
Washindi watacheza mechi za mtoano za FIFA na timu itakayoshinda itaenda kushiriki Kombe la Dunia kama timu ya 10 kutoka Afrika.
Ratiba Kamili ya Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026.
👉18 November 2023
Niger vs Tanzania
👉21 November 2023
Tanzania vs Morocco
👉June 11-2024
Zambia vs Tanzania
👉March 17-2025
Tanzania vs Congo Brazaville
👉March 24-2025
Morocco vs Tanzania
👉September 01-2025
Congo Brazaville vs Tanzania
👉October 06-2025
Tanzania vs Zambia
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: FIFA World Cup African qualifiers, Ratiba ya Group E Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Ratiba ya Group FIFA World Cup African qualifiers., RATIBA ya Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026