RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RATIBA ya Treni za SGR Dar to Dodoma kuanzia July 25-2024

Filed in Uncategorized, Habari by on 19/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

RATIBA ya Treni za SGR Dar to Dodoma kuanzia July 25-2024

RATIBA ya Treni za SGR Dar to Dodoma kuanzia July 25-2024

RATIBA ya Treni za SGR Dar to Dodoma kuanzia July 25-2024

RATIBA ya Treni za SGR Dar to Dodoma kuanzia July 25-2024, TRC Yatangaza Ratiba ya Treni za SGR Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia July 25-2024,

Shirika la Reli Tanzania – TRC linautaarifu Umma kuwa huduma za awali za usafiri wa treni za abiria katika reli ya kiwango cha kimataifa – SGR kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma zinatarajiwa kuanza tarehe 25 Julai 2024.

Kuanza kwa huduma za treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma kutapelekea mabadiliko ya ratiba za treni kama ifuatavyo;

Treni ya Haraka (Express Train) itatoka Dar es Salaam Saa 12:00 asubuhi na itatoka Dodoma Saa 11:30 asubuhi.

Treni ya kawaida kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma itatoka Dodoma Saa 11:30 jioni na itatoka Dar es Salaam Saa 12:55 iioni.

Treni ya kawaida kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro itatoka Dar es Salaam saa 3:30 asubuhi na saa 10:00 jioni, itatoka Morogoro Saa 3:50 asubuhi na saa 10:20 jioni.

Aidha Tiketi za Treni za SGR zinapatikana kwenye ofisi za tiketi ndani ya majengo ya Stesheni za SGR au kupitia mfumo wa tiketi unaopatikana kwa anauni https://sgrticket.trc.co.tz/.

RATIBA YA TRENI ZA SGR DAR ES SALAAM - DODOMA KUANZIA JULAI 25 2024

RATIBA YA TRENI ZA SGR DAR ES SALAAM – DODOMA KUANZIA JULAI 25 2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.