RATIBA ya Treni za SGR Dar to Moro 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
RATIBA ya Treni za SGR Dar to Moro 2024
RATIBA ya Treni za SGR Dar to Moro 2024,Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam mpaka Morogoro,Ratiba ya treni ya SGR kwa safari za Dar Es Salaam – Morogoro, Bei ya tiketi za treni, Ratiba ya treni dar to Moro,Tiketi za treni Dar Es Salaam,Ratiba ya Treni Moro to Darz
www.trc.co.tz online booking online,Ratiba ya treni wiki hii.
Shirika la Reli Tanzania lazindua kampeni ya uelewa kuhusu kuanza kwa huduma za safari za treni katika Reli ya kiwango cha Kimataifa SGR kwenye hafla fupi iliofanyika stesheni ya SGR Jijini Dar es Salaam Juni 12-2024.
Kampeni hii inalengo la kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya huduma mpya za SGR pamoja na mambo muhimu yakuzingatia katika masuala ya ulinzi na usalama wa abiria na mali zao ambapo kaulimbiu ya kampeni ni “Twende Tukapande Treni Yetu, Tuitunze, Tuithamini”
Mkurugenzi Mkuu Shirika la Reli Tanzania TRC, Ndugu Masanja Kungu Kadogosa amesema kuwa katika utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha huduma za usafiri wa Treni zinaanza, Shirika la Reli Tanzania limeendelea kuchukua hatua kuhakikisha utekelezaji wa kuanza huduma za uendeshaji zinafanyika.
Ratiba ya treni za SGR kati ya Dar es Salaam mpaka Morogoro iliyotolewa na Wizara ya Uchukuzi kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Picha hapo juu inaonesha muda wa kuondoka na kufika kwa treni katika stesheni za Dar es Salaam (DSM) na Morogoro (MOR). Ratiba imegawanywa katika sehemu mbili kwa siku, yaani asubuhi mpaka Usiku.
HII NI RATIBA KAMILI YA TRENI ZA SGR JUNE 2024.
Treni Kutoka Dar Es Salaam Kwenda Morogoro.
- Inaondoka DSM saa 12:00 asubuhi na inawasili MOR saa 01:49 asubuhi.
- Inaondoka DSM saa 10:00 Jioni na inawasili MOR saa 11:49 Jioni.
Treni kutoka Morogoro kwenda Dar Es Salaam:
- Inaondoka MOR saa 02:50 asubuhi na inawasili DSM saa 04:39 asubuhi.
- Inaondoka MOR saa 01:30 usiku na inawasili DSM saa 03:19 usiku.
Kadhalika upande wa treni za mchongoko (EMU) zitakuwa na madaraja yafuatayo,
- Daraja la Juu (High Class)
- Daraja la Uchumi (Economy Class)
- Daraja la Biashara (Business Class) na
- Daraja la Kifalme la Biashara (Royal Business Class).
Shughuli za treni za SGR kutoka Dar Es Salaam mpaka Morogoro zinatarajia kuanza rasmi kutoka Dar Es Salaam to Morogoro Juni 14, 2024,RATIBA ya Treni za SGR Dar to Moro 2024.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Bei ya tiketi za treni, Ratiba ya treni dar to Moro, Ratiba ya Treni Moro to Darz www.trc.co.tz online booking online, Ratiba ya treni wiki hii., Ratiba ya treni ya SGR kwa safari za Dar Es Salaam - Morogoro, Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam mpaka Morogoro, RATIBA ya Treni za SGR Dar to Moro 2024, Tiketi za treni Dar Es Salaam