RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RITA Download Fomu ya Usajili wa Kizazi B3

Filed in Makala by on 15/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

RITA Download Fomu ya Usajili wa Kizazi B3

RITA Download Fomu ya Usajili wa Kizazi B3,Fomu ya usajili wa kizazi b3 pdf download,Fomu ya usajili wa kizazi b3 pdf, Fomu ya usajili wa kizazi b3 download, Jinsi Ya Kupata cheti Cha kuzaliwa Kwa mtu mzima,Maombi Ya Cheti Cha Kuzaliwa online.

RITA Download Fomu ya Usajili wa Kizazi B3

RITA Download Fomu ya Usajili wa Kizazi B3,Fomu ya usajili wa kizazi b3 pdf download,Fomu ya usajili wa kizazi b3 pdf, Fomu ya usajili wa kizazi b3 download, Jinsi Ya Kupata cheti Cha kuzaliwa Kwa mtu mzima,Maombi Ya Cheti Cha Kuzaliwa online.

MAELEZO MUHIMU:
Tafadhali jaza fomu hii nakala moja (1) kwa HERUFI KUBWA.

  • Mwandikio usomeke vizuri.
  • Fomu ijazwe kwa kalamu ya wino mweusi au bluu.

Fomu ya uandikishaji wa tukio la kizazi ni kumbukumbu ya kisheria ya kuzaliwa kwa mtoto hivyo ni muhimu kupata taarifa zote kwa ukamilifu kutoka kwa mzazi au mlezi au mtoa taarifa hizo.

Taarifa za vizazi vyote zanatakiwa kwa mujibu wa sheria zipelekwe kwa Msajili wa Vizazi na Vifo wa Wilaya kila baada ya mwezi mmoja.

Msajili Msaidizi atafanya mahojiano baina ya mtoto anayeomba cheti kwa mwenye miaka 18 na kuendelea au mzazi/mlezi wa mwombaji ili kujiridhisha na ukweli wa taarifa zilizotolewa kwenye fomu ya maombi.

Fomu hii imetayarishwa kwa namna ambayo fungu au swali ambalo linahitaji kujibiwa kuna kisanduku cha kujaza taarifa husika au weka alama “X” panapohusika.

Ambatanisha viambatishi muhimu kwaajili ya kuthibitisha tarehe ya kuzaliwa na mahali pa kuzaliwa mtoto. Viambatisho hivyo ni;

  • Kadi ya Kliniki;
  • Pasi ya kusafiria;
  • Cheti cha ubatizo;
  • Cheti cha kumaliza shule ya Msingi au Sekondari;
  • Kitambulisho cha kupiga kura au kitambulisho cha utaifa cha Mwombaji
  • Vitambulisho vya kupiga kura au vya utaifa vya wazazi
    Agency
  • Kwa mwombaji ambaye hana viambatanisho vilivyoorodheshwa hapo juu basi Afisa Mtendaji wa Kata wa eneo alipozaliwa mtoto athibitishe kwa barua ukweli wa taarifa alizozitoa mwombaji huyo na usajili wa tukio hili la kizazi lifanyike ndani ya Wilaya aliyozaliwa mwombaji.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD FOMU YA USAJILI WA KIZAZI B3

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , ,

Comments are closed.