RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RITA Mfumo wa Huduma za Ndoa na Talaka

Filed in Makala by on 15/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

RITA Mfumo wa Huduma za Ndoa na Talaka

RITA Mfumo wa Huduma za Ndoa na Talaka,Nakala ya cheti cha ndoa,Jinsi ya kupata cheti cha ndoa cha serikali,Mfano wa hati ya talaka, Cheti cha ndoa ya kikristo, Www rita go tz ndoa online.

RITA Mfumo wa Huduma za Ndoa na Talaka

RITA Mfumo wa Huduma za Ndoa na Talaka,Nakala ya cheti cha ndoa,
Jinsi ya kupata cheti cha ndoa cha serikali,Mfano wa hati ya talaka, Cheti cha ndoa ya kikristo, Www rita go tz ndoa online.

Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) unapenda kuufahamisha Umma kwamba sasa unaweza kutuma maombi ya kupata huduma zifuatazo kwa njia ya Kidigitali (Online).
HUDUMA ZA NDOA NA TALAKA
Huduma zinazopatikana kidigitali:
  • 1. Maombi ya leseni ya kufungisha ndoa
  • 2. Maombi ya Shahada ya kufungisha ndoa
  • 3. Kupata kibali cha kufunga ndoa ndani ya siku 7
  • 4. Kupata cheti cha kutokuwa na kipingamizi cha ndoa
  • 5. Kusajili ndoa inayodumu iliyokuwa haijasajiliwa
  • 6. Kibali cha kufunga ndoa mahali maalum
  • 7. Kusajili Ndoa
  • 8. Kusajili ndoa iliyofungwa nje ya nchi
  • 9. Kusajili Talaka
  • 10. Kusajili Talaka iliyotolewa nje ya nchi

BOFYA HAPA KUPATA HUDUMA

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , , , , , , ,

Comments are closed.