SADIO Kanoute apewa Thank You
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
SADIO Kanoute apewa Thank You
SADIO Kanoute apewa Thank You,Klabu ya Simba SC imethibitisha kuwa kuelekea msimu mpya wa Mashindano 2024/2025 kiungo mkabaji Sadio Kanoute sehemu ya Kikosi hicho.
Kanoute alijiunga Simba msimu wa 2021/2022 akitokea Al Ahly Benghazi ya Libya.
Mkataba wa Kanoute umemalizika rasmi na baada ya mazungumzo ya pande zote mbili Sadio Kanoute hatokuwa sehemu ya Kikosi hicho.
Kanoute ni miongoni mwa Wachezaji ambao walikuwa wakijitoa katika muda wote wa mchezo na kuhakikisha anaisaidia timu.
Aidha Simba imesema kuwa inathamini mchango mkubwa aliotoa Kanoute katika kipindi chote cha miaka mitatu alichodumu na timu hiyo na inamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya kikosi Cha Simba SC.