SERIKALI Kuajiri Watumishi wa Afya 10112
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
SERIKALI Kuajiri Watumishi wa Afya 10112
SERIKALI Kuajiri Watumishi wa Afya 10112, Ajira 10112 za Afya 2024, Serikali Kuajiri Watumishi zaidi ya 1000 wa Afya, Watumishi Kada za Afya zaidi ya 1000 kuajiriwa mwaka 2024.
Serikali imesema kuwa mwaka ujao wa Fedha itaajiri Watumishi wa Afya 10,112 ili kukabiliana na Upungufu wa Watumishi hasa maeneo ya Vijijini.
Hayo yameelezwa bungeni, Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Festo Dugange wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Khadija Taya aliyetaka kujua ni lini Serikali itashughulikia tatizo la upungufu wa Watumishi kwenye Vituo vya Afya na Zahanati nchini.
Amesema kuwa Serikali imeendelea kuajiri wataalamu wa Kada Mbalimbali za Afya ambapo katika kipindi cha miaka mitatu (2021, 2022 na 2023), imeajiri watumishi 18,418 wa kada mbalimbali za afya na kuwapangia vituo kote nchini.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira 10112 za Afya 2024, SERIKALI Kuajiri Watumishi wa Afya 10112, Serikali Kuajiri Watumishi zaidi ya 1000 wa Afya, Watumishi Kada za Afya zaidi ya 1000 kuajiriwa mwaka 2024.