SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024,Top 10 Students NECTA Form Four Results 2023/2024,Wanafunzi kumi bora matokeo form four 2023/2024, Form four Tanzania One 2023/2024 Top 10 Students from NECTA Form Four Results 2023/2024.
In 2023, the National Examination Certificate of Tanzania (NECTA) is expected to release the Form Four results on 29th January 2024 The top 10 students from these results will be recognized for their outstanding academic achievements.
Top 10 Students from NECTA Form Four Results 2023/2024:
- Consolata Prosper Luguva – St. Francis Mbeya
- Butoi Ernest Kangaza – St. Francis
- Wllhemia Steven – St. Francis
- Cronel John – St Francis
- Merry George Ngoso – St Francis
- Holly Beda Lyimo – Bright Future Girls
- Brandina – St. Francis
- Imamu Suleiman – Feza Boys
- Mfalme Hamis Madili – llboru
- Clara Straton – St. Francis
In conclusion, the top 10 students from the 2023 NECTA Form Four results exemplify the dedication, hard work, and commitment of Tanzanian students to their education. These students’ achievements showcase the importance of the National Examination Certificate of Tanzania (NECTA) in shaping the future of the country’s youth.
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023, yakionyesha kuongezeka kwa ufaulu wa watahiniwa kwa asilimia 0.87 na ufaulu wa hisabati ukipanda kuliko masomo yote.
Mbali na kuongeza kwa kiwango cha ufaulu, ubora wa ufaulu kwa daraja la kwanza hadi la tatu nacho kimeongezeka kwa asilimia 0.47 ikilinganishwa na ilivyokuwa mwaka 2022.
Akitangaza matokeo hayo leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said Mohamed amesema asilimia 37.42 ya watahiniwa wamepata daraja la kwanza hadi la tatu ikilinganishwa na asilimia 36.95 waliopata madaraja hayo mwaka 2022.
“Jumla ya watahiniwa wa shule 471,427 kati ya 527,576 wenye matokeo ambao ni sawa na asilimia 89.36 wamefaulu kwa kupata daraja la kwanza hadi la nne. Waliopata daraja la kwanza hadi la tatu ni asilimia 37.42,” amesema Dk Mohamed.
Shule 10 bora form four 2023 results, Shule 10 bora form four 2023 dates, Shule 10 bora form four 2023 2024, Top ten schools Form four Results 2023, Shule kumi bora Tanzania, Shule kumi bora kidato cha nne 2023, Shule 50 bora za sekondari Tanzania, Shule 10 bora ZA sekondari Tanzania, Shule 50 bora ZA sekondari Tanzania PDF, Matokeo Form Four 2023, Shule kumi bora 2023, Shule 100 bora za sekondari Tanzania.
Kwenye upande wa masomo, licha ya hisabati kuendelea kuwa chini ya wastani, kiwango cha ufaulu kwa somo hilo kimepanda kuliko masomo yote ambapo takwimu zinaonesha ufaulu umeongezeka kwa asilimia 5.34. Mwaka 2022 ufaulu wa somo hilo ulikuwa asilimia 20.08.
Somo la Kiswahili ufaulu wake umeendelea kupanda ambapo asilimia 96.80 ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu.
“Wanafunzi waliopata daraja A hadi C kwenye Kiswahili ni asilimia 74.39, ufaulu wa watahiniwa waliopata A na B umeongezeka kwa asilimia 1.54,” amesema Dk Mohamed. Mwaka 2022 ufaulu wa jumla wa somo hilo ulikuwa 95.58.
Ufaulu kwa masomo mengine kulinganisha na mwaka 2022 ni kama ifuatavyo: uraia 70.04 kutoka 2022 67.83, historia 62.01 kutoka asilimia 63.20, jiografia 66.10 kutoka asilimia 64.32, Kiingereza 68.72 kutoka asilimia 69.09.
Masomo mengine ni fizikia kutoka 71.85 kutoka asilimia 68.34, kemia 96.14 kutoka asilimia 93.68 na biolojia 70.09 kutoka asilimia 67.84
Kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea ufaulu wao umepungua kwa asilimia 15.90 ikilinganishwa na mwaka 2022.
Matokeo hayo yameonesha watahiniwa wa kujitegemea waliofaulu ni 13,396 sawa na asilimia 52.44 wakati mwaka 2022 watahiniwa wa kujitegemea waliofaulu walikuwa 19,475 sawa na asilimia 68.34.
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2023
MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2023
After Tanzania Mainland had pulled out of the East African Examinations Council, in 1971 and before NECTA was established by Law, in 1973, the Curriculum and Examinations Section of the Ministry of Education was responsible for all examinations. With the establishment of NECTA, the Examinations became its responsibility in accordance with the law. The Curriculum continued to be under the Ministry of Education and the University College, Dar es Salaam until when it was taken over by the newly established, autonomous Institute of Curriculum Development (ICD) in 1975, which in 1993 was renamed as the Tanzania Institute of Education (TIE).
Between 1972 and 1976 the first staff of NECTA were recruited, among them was Mr. P. P Gandye who was recruited in 1972 and later on in 1994 was appointed as Executive Secretary. The other staff members continued to be recruited and especially so when NECTA’s premises moved from the Ministry of Education Headquarters to the present premises at Kijitonyama near Mwenge. Currently the number of NECTA’s staff is more than 340.
Matokeo ya kidato cha nne Mkoa wa Dar es Salaam, Matokeo ya Kidato cha nne 2023/2024 date, Matokeo ya Kidato cha nne 2022/23, Matokeo ya kidato cha nne 2023 24 tanzania, Matokeo ya Kidato cha nne 2023 PDF, Matokeo ya Kidato cha Nne 2023/2024 Download.
The Establishment of NECTA
The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) is Government Institution which was established by the Parliamentary Act No. 21 of 1973. NECTA is responsible for the administration of all National Examinations and Assessments in Tanzania.
The decision to establish NECTA was a follow-up of an earlier move, in April 1971, when Tanzania Mainland pulled out of the East African Examinations Council (EAEC) to conduct her own examinations. Zanzibar pulled out of EAEC in 1970. Before the pull out, between 1968 and 1971, Tanzania sat for foreign Secondary School Examinations conducted jointly by the East African Syndicate, which before then were conducted by the Cambridge Local Examinations Syndicate alone. The Examinations conducted by the Cambridge Local Examinations Syndicate then were the School Certificate and the Higher School Certificate Examinations. The School Certificate Examinations was taken by the African Students for the first time in 1947 and that of the Higher School Certificate in 1960.
Leadership List of NECTA since its Inception 21-11-1973
Chairmen | ||
---|---|---|
S/N | Year | Name |
1. | 1973 – 1977 | P. Msekwa |
2. | 1977 – 1980 | I. M. Kaduma |
3. | 1980 – 1988 | N. A. Kuhanga |
4. | 1988 – 1992 | G.R.V. Mmari (Prof) |
5. | 1992 – 1999 | M.L Luhanga (Prof) |
6. | 1999 – 2004 | G.R.V. Mmari (Prof) |
7. | 2004 – 2007 | E. Mwaikambo (Prof) |
8. | 2007 – 2018 | R.S. Mkandala (Prof) |
9. | 2018 – to date | W.A.L. Anangisye (Prof) |
Secretaries | ||
---|---|---|
S/N | Year | Name |
1. | 1973 – 1978 | R. Kiyao |
2. | 1978 – 1986 | D.J. Bagenda |
3. | 1986 – 1992 | A. Modesti |
4. | 1994 – 1997 | P.P. Gandye |
5. | 1998 – 2005 | E.M. Nkumbi (Dr) |
6. | 2005 – 2014 | J.L. Ndalichako (Dr) |
7. | 2014 – 2022 | C.E. Msonde (Dr) |
8. | 2023 – to date | S.A. Mohamed (Dr) |
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- TETESI Za Usajili Simba SC Dirisha Dogo 2023/2024
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Form four Tanzania One 2023/2024 Top 10 Students from NECTA Form Four Results 2023/2024., SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024, Top 10 Students NECTA Form Four Results 2023/2024, Wanafunzi kumi bora matokeo form four 2023/2024