SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Sita 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Sita 2024
SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Sita 2024,Top Ten Schools Form Six Results 2024 Tanzania, Necta imetoa Matokeo ya Kidato cha Sita 2024 ambapo imetaja Shule zilizofanya vizuri zaidi kuliko Shule nyingine za Kidato cha Sita mwaka huu 2024, shule hizo zimefaulu kwa kiwango cha juu ukilinganisha na Shule zingine:
Shule Kumi Bora Matokeo Ya Kidato Cha Sita 2024, Shule kumi Bora Matokeo ya Kidato cha Sita nchini Tanzania kwa mwaka 2024 ni kama zifuatazo;
- Kemebos Sekondari – Kagera.
- Kisimiri Sekondari – Arusha.
- Tabora Boys Sekondari – Tabora.
- Tabora Girls – Tabora.
- Ahmes Sekondari – Pwani.
- Dareda Sekondari – Manyara.
- Nyaishozi Sekondari – Kagera.
- Mzumbe Sekondari – Morogoro.
- Mkindi – Tanga.
- Ziba – Tabora.
Shule hizi 10 zilifanya vizuri katika Matokeo ya kidato cha sita ya NECTA kwa mwaka 2024 na kuingia katika orodha ya shule bora kwa masomo ya juu Tanzania ikilinganishwa na shule nyingine. Shule Kumi Bora Matokeo ya Kidato Cha Sita 2024.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Sita 2024, Top Ten Schools Form Six Results 2024 Tanzania