RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

SIKU 5 Nyingine zaongezwa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi May 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 23/05/2024 3 Comments

SIKU 5 Nyingine zaongezwa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi May 2024

SIKU 5 Nyingine zaongezwa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi May 2024,Siku 5 Zaongezwa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi May 2024, Serikali yaongeza Siku 5 Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania May 2024, Kuomba Ajira za Jeshi la Polisi, Serikali yaongeza muda.

SIKU 5 Nyingine zaongezwa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi May 2024

SIKU 5 Nyingine zaongezwa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi May 2024,Siku 5 Zaongezwa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi May 2024, Serikali yaongeza Siku 5 Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania May 2024, Kuomba Ajira za Jeshi la Polisi, Serikali yaongeza muda.

TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUOMBA AJIRA

May 15-2024 lilitolewa tangazo la kuongezwa kwa muda wa kuomba ajira na mwisho wa kutuma maombi hayo ilikuwa ni leo Mei 21, 2024.

Kutokana na Changamoto ya Mtandao iliyoendelea kujitokeza, Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa Vijana wenye Sifa na nia ya Kujiunga na Jeshi la Polisi zimeongezwa siku tano (5) za kuendelea kutuma Maombi.

Hivyo, tarehe ya mwisho ya kuwasilisha Maombi ya kuomba Ajira itakuwa ni May 26-2024 badala ya May 21-2024.

Maombi yote yatumwe kupitia link: ajira.tpf.go.tz. Maelekezo mengine ni kama yanavyosomeka kwenye tangazo la May 9-2024.

SIKU 5 Nyingine zaongezwa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi May 2024

SIKU 5 Nyingine zaongezwa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi May 2024,Siku 5 Zaongezwa Maombi ya Ajira za Jeshi la Polisi May 2024, Serikali yaongeza Siku 5 Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania May 2024, Kuomba Ajira za Jeshi la Polisi, Serikali yaongeza muda.Mnamo May 09-2024 Jeshi la Polisi lilitangaza ajira Nafasi mbalimbali za Ajira kwa Vijana wenye Elimu ya Shahada, Astashahada, Kidato cha Sita na cha Nne, huku moja ya sifa kwa muombaji lazima awe raia wa Tanzania wa kuzaliwa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi makao makuu Dodoma May 09-2024, Miongoni mwa Nafasi hizo kwa upande wa shahada ni 74, Diploma 66 na upande wa ngazi ya Cheti (Astashahada ni 66).

Fani zinazotakiwa kwa kila ngazi ya Elimu ni pamoja na Uuguzi, Famasia, Uhandisi wa Vyombo vya Majini, Kompyuta, Muziki, Wapima Ardhi, Usimamizi wa Michezo na Utawala.

“Waombaji wanatakiwa waandike barua kwa mkono na wasisahau namba za simu na wanapaswa kutumia anuani ya Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 Dodoma.

Aidha Waombaji wote wafanye maombi kupitia kwenye mfumo wa ajira wa Polisi (Tanzania Police Force -Recruitment Portal) unaopatikana kwenye tovuti ya jeshi hilo ya; ajira.tpf.go.tz na mwisho wa kupokea Maombi hayo ilikuwa May 16, 2024 Sasa itakuwa May 21-2024.

SIFA ZA MUOMBAJI

 • Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
 • Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2018 hadi 2023.
 • Kwa waombaji wa kidato cha nne na sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
 • Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I – IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Point) 26 hadi 28.
 • Kwa waombaji wa kidato cha sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I – III)
 • Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30.
 • Awe na urefu usiopunguwa futi tano na inchi nane (5’8”) kwa wanaume, na futi tano inchi nne (5’4”) kwa wanawake.
 • Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
 • Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kingereza.
 • Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa Serikali.
 • Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto.
 • Awe hajawahi kutumia dawa za kulevya.
 • Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya Polisi.
 • Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya Serikali.
 • Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote Tanzania.
 • Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa kwenye usaili.
 • Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).
 • Asiwe na kumbukumbu za uhalifu.
 • Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Shahada (NTA level 8),
  Stashahada (NTA level 6) na Astashahada (NTA Level 5 au NVA Level 3) wanatakiwa wawe na fani zilizoainishwa kwenye tangazo hili.

UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI

 • Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila kusahau namba za simu na watumie anuani ya
  Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA.
 • Waombaji wote wafanye maombi yao kupitia kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi (TANZANIA POLICE FORCE – RECRUITMENT PORTAL)
  unaopatikana kwenye tovuti ya Jeshi la Polisi ajira.tpf.go.tz

Mwisho wa Kupokea Maombi Sasa ni tarehe 26/05/2024 baada ya Kuongea Siku 5 Kutokana na Changamoto ya Internet.

DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA

Tags: , , , ,

Comments (3)

Trackback URL | Comments RSS Feed

 1. I will be able to working hard if I get a chance

 2. Naamini nitaweza Kaz hii kwa uadilifu mkubwa ivyo nilikuwa natuma ombi katika professional ya plumbing natumaini ombi langu Lita shughulikiwa 0628170318

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *