SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZAĀ HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


SIMBA kutumia Uwanja wa Jamhuri Morogoro

Filed in Michezo by on 04/03/2024 0 Comments

SIMBA kutumia Uwanja wa Jamhuri Morogoro

SIMBA kutumia Uwanja wa Jamhuri Morogoro,Ccm jamhuri morogoro wikipedia, Ccm jamhuri morogoro son, Ccm jamhuri morogoro age, Jamhuri stadium dodoma, Top 10 Stadium in Tanzania, Jamhuri stadium morogoro capacity, Jamhuri stadium morogoro address.

SIMBA kutumia Uwanja wa Jamhuri Morogoro

SIMBA kutumia Uwanja wa Jamhuri Morogoro,Ccm jamhuri morogoro wikipedia, Ccm jamhuri morogoro son, Ccm jamhuri morogoro age, Jamhuri stadium dodoma, Top 10 Stadium in Tanzania, Jamhuri stadium morogoro capacity, Jamhuri stadium morogoro address.

Klabu ya Simba sasa itautumia Uwanja wa CCM Jamhuri uliopo Mkoani Morogoro kama uwanja wake wa nyumbani katika mechi zake za ndani baada ya Uwanja wa Uhuru na Benjamin Mkapa kufungwa kwa muda.

Mchezo wa kwanza kwenye Uwanja huo utakuwa dhidi ya Wajelajela Tanzania Prisons kwenye wa Ligi kuu ya NBC utakaochezwa Machi 6-2024.SIMBA kutumia Uwanja wa Jamhuri Morogoro,Ccm jamhuri morogoro wikipedia, Ccm jamhuri morogoro son, Ccm jamhuri morogoro age, Jamhuri stadium dodoma, Top 10 Stadium in Tanzania, Jamhuri stadium morogoro capacity, Jamhuri stadium morogoro address.

Aidha uwanja huo unaendelea kufanyiwa maboresho hasa katika eneo la kuchezea (pitch) na imeamuliwa kwamba usitumike kwa shughuli nyingine zaidi ya soka.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amesema kuwa lengo la mkoa, chama cha soka na wamiliki wa uwanja huo ni kufanya maboresho zaidi ili uwe na hadhi ya kutumiwa na timu zitakazoshiriki AFCON 2027 kwaajili ya mazoezi.

PIA UNAWEZA KUSOMAšŸ‘‡

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *