SIMBA Kuweka Kambi Misri 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
SIMBA Kuweka Kambi Misri 2024/2025
SIMBA Kuweka Kambi Misri 2024/2025, Video: Ahmed ataja Simba watakapoweka Pre Season 2024/2025, Simba Kuweka Pre Season nchini Misri 2024/2025, Simba Kuweka Pre Season 2024/2025 nchini Misri.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally ameweka wazi tarehe rasmi ya kuanza maandalizi ya msimu (Pre Season) pamoja na suala la usajili.
Ahmed amesema kuwa Simba Sc itaweka kambi nchini Misri kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2024/2025.
Aidha Wachezaji wataanza kuripoti wiki ya kwanza ya mwezi ujao (Julai) tayari kwa Pre Season.
Ahmed amesema timu itaondoka nchini ikiwa kamili kuanzia benchi la ufundi, uongozi na wachezaji wote ambao watakuwa wamesajiliwa kwa ajili ya 2024/25
Aidha amesema kuwa Simba itaweka kambi katika moja ya Hotel maarufu ambayo imetimiza mahitaji yote ya pre-season
“Tutakuwa n wiki tatu za maandalizi ambapo benchi la ufundi litapata muda mzuri wa kuiandaa Simba mpya ya kushinda makombe”
“Tutarejea siku chache kabla ya Simba Day na baadae kuelekea katika Ngao ya jamii kwenda kuanza vyema msimu kwa kutetea Ngao yetu,” alisema Ahmed
Tazama Video hii hapa nchini mpaka mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu aina ya usajili ambayo klabu ya Simba imepanga kufanya.
BONYEZA HAPA KUMTAZAMA AHMED ALI AKIZUNGUMZIA PRE SEASON YA SIMBA NA USAJILI
SIMBA Kuweka Kambi Misri 2024/2025
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: SIMBA Kuweka Kambi Misri 2024/2025, Simba Kuweka Pre Season 2024/2025 nchini Misri., Simba Kuweka Pre Season nchini Misri 2024/2025, Video: Ahmed ataja Simba watakapoweka Pre Season 2024/2025