KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

SIMBA na Azam Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024

Filed in Michezo by on 21/04/2024 0 Comments

SIMBA na Azam Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024

SIMBA na Azam Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024, Simba na Azam FC Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024, Simba na Azam kuvaana Ligi ya Muungano Zanzibar 2024, Simba Kushiriki Ligi ya Muungano Zanzibar 2024, Azam Kushiriki Ligi ya Muungano Zanzibar 2024, Azam na Simba Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar, Simba vs Azam FC,KVZ vs Simba, KVZ vs Azam, KMKM vs Simba, KMKM vs Azam, Azam vs KVZ, Simba SC vs KMKM, Simba vs KVZ FC, Simba vs KMKM FC.

SIMBA na Azam Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024

SIMBA na Azam Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024, Simba na Azam FC Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024, Simba na Azam kuvaana Ligi ya Muungano Zanzibar 2024.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa pamoja, wametangaza kurejea tena kwa Kombe la Muungano baada ya miaka 20 kupita.

Kipekee kabisa Kombe hilo limerejea rasmi katika wakati ambao, Taifa linasherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wetu.

Timu za Simba SC na Azam FC kutoka Tanzania Bara, zitashiriki katika Mashindano hayo ya mwaka huu yenye sura ya Uzinduzi wa Kombe hilo, huku kwa upande wa Visiwani timu shiriki ni Mabingwa wa Zanzibar, KMKM pamoja na KVZ FC.

Mechi hizo zitachezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia Aprili 23.

TFF na ZFF wamewaomba Watanzania wote kushirikiana ili kufanikisha mashindano haya kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.SIMBA na Azam Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024, Simba na Azam FC Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar 2024, Simba na Azam kuvaana Ligi ya Muungano Zanzibar 2024, Simba Kushiriki Ligi ya Muungano Zanzibar 2024, Azam Kushiriki Ligi ya Muungano Zanzibar 2024, Azam na Simba Kushiriki Kombe la Muungano Zanzibar, Simba vs Azam FC,KVZ vs Simba, KVZ vs Azam, KMKM vs Simba, KMKM vs Azam, Azam vs KVZ, Simba SC vs KMKM, Simba vs KVZ FC, Simba vs KMKM FC.

Akizungumza awali, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada Vuai, alisema kuwa kwa kuanzia watakuwa na timu nne, mbili kutoka Tanzania Bara na mbili kutoka Zanzibar.

“Ni kweli Kombe la Muungano limerejea na kuanzia tutaanza na klabu nne, mbili kutoka Tanzania Bara na mbili kutoka visiwani Zanzibar,” alisema Vuai.

Aidha alizitaja klabu hizo kuwa ni Simba na Azam FC kwa Tanzania Bara na KMKM na KVZ kwa upande wa Zanzibar.

Hata hivyo, alisema kuwa kwa msimu huu wameanza na timu hizo, lakini mwakani wanatarajia kuongeza timu na kufikia nane, ambapo kila upande utatoa timu nne.

Hata hivyo alisema timu hizo zitacheza kwa mtindo wa mtaoano na Fainali itachezwa siku ya kilele cha sherehe za Muungano April 26 mwaka huu.


About Zanzibar Football Federation

The Zanzibar Football Federation (ZFF) (previously known as Zanzibar Football Association) (Swahili: Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar) is the governing football Federation for Zanzibar, Africa.

The ZFA were an associate member of the African governing body, the Confederation of African Football. Following a rejection from FIFA in 2005,[2] the ZFA were removed from CAF and after much lobbying were reinstated as an associate member.

This meant that the club sides associated with the ZFA can participate in the continental club competitions organised by CAF but the Zanzibar national team could not. The ZFA are not entitled to vote in CAF affairs due to their associate member status. Players from Zanzibar are eligible to play in international competition for the Tanzania team, the representative of the sovereign territory.

As a nation state, it has competed in regional competitions since 1949. It currently competes in CECAFA organised tournaments.

The ZFA was admitted as a full member of the CAF in March 2017but lost membership four months later.

In March 2017, the Zanzibar Football Association voted on whether to change their name to Zanzibar Football Federation, which succeeded.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *