SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZAย HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


SIMBA na Yanga zaweka rekodi Mpya Afrika

Filed in Michezo by on 03/03/2024 0 Comments

SIMBA na Yanga zaweka rekodi Mpya Afrika

SIMBA na Yanga zaweka rekodi Mpya Afrika,simba na Yanga zaweka rekodi Mpya Tanzania, Simba na Yanga zaweka rekodi Mpya CAF, Simba na Yanga zaipaisha Tanzania, Simba na Yanga zatinga Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024, Simba na Yanga zafuzu Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024.

SIMBA na Yanga zaweka rekodi Mpya Afrika

SIMBA na Yanga zaweka rekodi Mpya Afrika,simba na Yanga zaweka rekodi Mpya Tanzania, Simba na Yanga zaweka rekodi Mpya CAF, Simba na Yanga zaipaisha Tanzania, Simba na Yanga zatinga Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024, Simba na Yanga zafuzu Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024.

Kwa mara ya kwanza kwenye historia Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo imefanikiwa kupeleka timu 2 kwenye Robo Fainali CAF Champions League msimu wa 2023/2024.

Mafanikio hayo yanaifanya Tanzania kutengeneza pointi 30 mpaka sasa ikiwa Simba ametegeneza pointi 15 na Yanga ametegeneza pointi 15 kwa kufuzu robo Fainali ya CAF Champions League 2023/2024.

Kwa sasa Tanzania ina pointi 71, ikiwa nafasi ya sita (6) kwenye association ranking nyuma ya mataifa matano (5) makubwa ambayo ni Misri pointi 149, Morocco pointi 138, Algeria pointi 114, Afrika Kusini pointi 101 na Tunisia wenye pointi 87.

Pamoja na mafanikio hayo pia kwa sasa tuna uhakika wa kupeleka timu 4 kwenye Mashindano ya CAF kwa misimu miwili mbele.

Aidha pointi 71 zemetegenezwa na timu 3, ambazo ni Simba waliotegeneza pointi 39, Yanga wametengeneza pointi 31 na Namungo wakitengeneza pointi 1.

Klabu ya Simba kwenye Club ranking Sasa ipo nafasi ya 5 ikiwa na pointi 39 sawa na Petro de Luanda ya Angola ikiwa imezidiwa na timu za Al ahly wenye pointi 72, Wydad Casablanca pointi 69, Esperance de Tunis pointi 51, na Mamelodi Sundowns pointi 49.

Klabu ya Yanga wao kwenye Club ranking wapo nafasi ya 12 wakiwa na pointi 31, huku Namungo wakiwa nafasi ya 69 kwa pointi 1 tu.

Current Ranking of Associations after group stage in #CAFCL & #CAFCC

First twelve countries will have 4 clubs in CAF interclub competitions next season if ranking stays same.

Ghana have moved 13 places up ๐Ÿ’ช

16. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Cameroon
17. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ท Mauritania
18. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฌ Congo
19. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ Botswana
20. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Zambia.
21. ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Senegal
22. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ Togo
22. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Uganda
24. ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Eswatini
24. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ช Niger
26. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ Zimbabwe
26. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ Burkina Faso
28. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฏ Benin

#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC

PIA UNAWEZA KUSOMA๐Ÿ‘‡

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *