KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

SIMBA Wafunguka Ishu ya Kibu Denis Kuondoka

Filed in Michezo, Usajili by on 05/05/2024 0 Comments

SIMBA Wafunguka Ishu ya Kibu Denis Kuondoka

SIMBA Wafunguka Ishu ya Kibu Denis Kuondoka

SIMBA Wafunguka Ishu ya Kibu Denis Kuondoka

SIMBA Wafunguka Ishu ya Kibu Denis Kuondoka, Wakati Tetesi zikieleza kuwa Kibu Dennis kagomea kuongeza dili jipya ndani ya timu hiyo akiwa na Ofa zaidi ya tatu mezani, Uongozi wa Simba kupitia Afisa Habari wake umejibu hoja hiyo.

Ipo wazi kwamba Kibu ni chaguo la kwanza la makocha wote ambao wamepita Simba ikiwa ni Robert Oliveira, Abdelhakh Benchikha na sasa Juma Mgunda.

Kibu anatajwa kuwa kwenye rada za Azam FC na Yanga ambao wanahitaji saini ya kiungo huyo Mshambuliaji mwenye bao moja na pasi tatu za mabao.

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa: “Licha ya timu kutajwa kuwa mbovu lakini wachezaji wake wanatajwa kuhitajika katika timu nyingine. Mchezaji tunayemtaka atabaki.”

Na nukuu👇👇👇👇

Licha ya timu yetu kusemekana ni mbovu lakini ndio timu inayoongoza kwa wachezaji wake kuhitajika na vilabu vingi zaidi vya ndani na nje nchi

Ni dhahiri kuwa tuna kikosi chenye Wachezaji bora

Hatujapata matokeo mazuri msimu huu lakini haindoi ukweli kuwa wachezaji wetu ni bora sana ndio maana wanatajwa sana sokoni

Tunachoenda kukifanya hivi sasa ni kubaki na wale bora wenye moyo wa kuitumikia Simba

Katika dirisha hili la usajili tunaemtaka atabaki Simba lengo ni kutengeneza Simba tishio turudi kwenye Ufalme wetu.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *