RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


SIMBA Yaanza na Bocco Maboresho ya Kikosi 2024/2025

Filed in Usajili, Michezo by on 17/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

SIMBA Yaanza na Bocco Maboresho ya Kikosi 2024/2025

SIMBA Yaanza na Bocco Maboresho ya Kikosi 2024/2025, Simba yaachana na John Raphael Bocco, John Bocco aachwa Simba SC, Wachezaji Walioachwa Simba 2024/2025.

SIMBA Yaanza na Bocco Maboresho ya Kikosi 2024/2025

SIMBA Yaanza na Bocco Maboresho ya Kikosi 2024/2025, Simba yaachana na John Raphael Bocco, John Bocco aachwa Simba SC, Wachezaji Walioachwa Simba 2024/2025.

Nahodha na mshambuliaji kinara, John Raphael Bocco hatakuwa sehemu ya kikosi Cha Simba SC kitakachoshiriki Mashindano Mbalimbali katika msimu ujao wa 2024/25.

Bocco hatakuwa sehemu ya kikosi  hicho kama ilivyozoeleka lakini bado yupo ndani ya klabu hiyo kwani sasa atahudumu kama kocha wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17.

SIMBA Yaanza na Bocco Maboresho ya Kikosi 2024/2025Bocco alijiunga Simba msimu wa 2017/18 akitokea Azam FC na kutoka hapo amekuwa muhimili wa timu ndani na nje ya uwanja.

Bocco amekuwa msaada mkubwa kwa wachezaji vijana pamoja na wale wageni waliokuwa wakija kikosini hapo na alikuwa kiunganishi bora kati ya Uongozi, benchi la ufundi na wachezaji.

Katika kipindi cha miaka saba Bocco aliyodumu kikosini ameiongoza timu hiyo kutwaa mataji manne ya Ligi Kuu mfululizo, Kombe la FA pamoja na Kombe la Mapinduzi.

Kutokana na umuhimu wa Bocco Uongozi wa Simba umesema kuwa atakuwa mtu muhimu katika kuwapika na kuzalisha vijana wengine ambao watakuwa msaada kwa Klabu katika siku za baadae.

Bocco anakuwa nahodha wa tatu baada ya Nico Nyagawa na Mussa Mgosi kuwa sehemu ya benchi la timu za Vijana,SIMBA Yaanza na Bocco Maboresho ya Kikosi 2024/2025.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.