SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZAĀ HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


SIMBA yatinga Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024

Filed in Michezo by on 02/03/2024 0 Comments

SIMBA yatinga Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024

SIMBA yatinga Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024,Simba yafuzu robo fainali caf champions league 2023/24 score,Simba yafuzu robo fainali caf champions league 2023/2024, Simba imefuzu Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024.

SIMBA yatinga Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024

SIMBA yatinga Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024,Simba yafuzu robo fainali caf champions league 2023/24 score,Simba yafuzu robo fainali caf champions league 2023/2024, Simba imefuzu Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024.

Klabu ya Simba SC imefanikiwa kufuzu Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana, mchezo wa mwisho wa Kundi B uliopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Simba kwenye ushindi yamefungwa na Saido Ntibazonkiza dakika ya 7, Pa Omar Jobe dakika ya 14, Kibu Denis dakika ya 22, Clatous Chama dakika ya 76, Ladack Juma Chasambi dakika ya 86 na Fabrice Luamba Ngoma dakika ya 89.

SIMBA yatinga Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024,Simba yafuzu robo fainali caf champions league 2023/24 score,Simba yafuzu robo fainali caf champions league 2023/2024, Simba imefuzu Robo Fainali CAF Champions League 2023/2024.Mechi nyingine ya mwisho ya Kundi B, ilikuwa kati ya wenyeji, Wydad Casablanca ambao wameshinda bao 1-0 dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast bao pekee la Mountassir Lahtimi dakika ya 18.

Simba imefuzu hatua hiyo baadae ya kumaliza na pointi tisa sawa na Wydad Casablanca, wote wakiwa nyuma ya vinara, ASEC Mimosas wenye pointi 11.

Kinachomfaidisha Simba ma kutinga Robo Fainali ni ushindi wa jumla dhidi ya Wydad (Head to Head) kufuatia kufungwa 1-0 Morocco na kushinda 2-0 Dar es Salaam na pia wanastawisha kufuzu kwao kwa wastani mkubwa zaidi wa mabao zaidi ya Wydad Casablanca.

Aidha Simba imeendeleza ubabe wake wa kufuzu kwa hatua hiyo kwa mara ya nne (4) katika kipindi cha miaka sita kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kufanya hivyo msimu wa 2018/2019, 2020/2021, 2022/2023 na msimu huu.

Lakini pia Simba imelipa kisasa kwa Jwaneng Galaxy ambao waliizuia kufuzu kwa hatua hiyo katika msimu wa 2021/2022 baada ya kuichapwa mabao 3-1 kwa Mkapa.

PIA UNAWEZA KUSOMAšŸ‘‡

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *