SIMIYU Region Walioitwa Kazini Ajira za INEC 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2024.
Katika taarifa hii Nijuze Habari imekuwekea orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo/Kazini Nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoa wa Simiyu.
SIMIYU Region Walioitwa Kazini Ajira za INEC 2024
Kupata Majina hayo fungua jina la Halmashauri au Jimbo lako uliloombea hapa chini;