TAARIFA Muhimu Kwa Walioitwa kwenye Usaili Kada za Afya
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma inawataarifu wale wote walioitwa kwenye usaili wa Kada za Afya kuwa USAILI WA KUANDIKA/ MCHUJO utafanyika Katika Mkoa ambao msailiwa anaishi kwa sasa (Current address) na USAILI WA MAHOJIANO YA ANA KWA ANA utafanyika Katika Mkoa uliochagua wakati
unaomba kazi.
Mfano kama uliomba nafasi ya Tabibu Mkoa wa Mara, utafanyia usaili wa mahojiano Katika mkoa wa Mara.
Aidha Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK) Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
- SOMA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KADA ZA AFYA
- MAJINA YA NYONGEZA WALIOITWA KWENYE USAILI KADA ZA AFYA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: TAARIFA Muhimu Kwa Walioitwa kwenye Usaili Kada za Afya