TAARIFA za Kadi ya Mpiga Kura
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
TAARIFA za Kadi ya Mpiga Kura
TAARIFA za Kadi ya Mpiga Kura,Kadi ya mpiga kura itakuwa na taarifa zifuatazo:
- Jina kamili;
- Picha;
- Tarehe ya kuzaliwa;
- Jinsi;
- Namba ya kipekee ya utambuzi wa mpiga kura;
- Jina la kituo cha uandikishaji;
- Msimbo wa haraka wa utambuzi;
- Alama za usalama;
- Saini ya Mkurugenzi wa Uchaguzi;
- Saini ya mpiga kura; na
- Taarifa nyingine yoyote kama Tume itakavyoelekeza.