RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


TAESA Waliofaulu Usaili Ajira ya Wauguzi Saudi Arabia

Filed in Ajira by on 31/05/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

TAESA Waliofaulu Usaili Ajira ya Wauguzi Saudi Arabia

TAESA Waliofaulu Usaili Ajira ya Wauguzi Saudi Arabia, Wauguzi Waliofaulu Usaili TAESA Kufanya Kazi Dubai,Matokeo ya Usaili kwa nafasi za Ajira ya Wauguzi Nchini Saudi Arabia, Matokeo ya Usaili kwa nafasi za Ajira ya Wauguzi Nchini Saudi Arabia,Nafasi za kazi Saudi Arabia,Taesa inahusika na ninizEacop TaESA go tz,Interview za taesaTaESA Mwanza,Nafasi za kazi uarabuni,Wauguzi waliofaulu usaili taesa, kufanya kazi dubai videos, Ajira portal,Www kazi go tz veta 2024,
Nafasi za kazi TaESA, Kazi online,Ajira kazi.

TAESA Waliofaulu Usaili Ajira ya Wauguzi Saudi Arabia

TAESA Waliofaulu Usaili Ajira ya Wauguzi Saudi Arabia, Wauguzi Waliofaulu Usaili TAESA Kufanya Kazi Dubai,Matokeo ya Usaili kwa nafasi za Ajira ya Wauguzi Nchini Saudi Arabia, Matokeo ya Usaili kwa nafasi za Ajira ya Wauguzi Nchini Saudi Arabia.

MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI ZA AJIRA YA WAUGUZI NCHINI SAUDI ARABIA

OWM – Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Kitengo cha Huduma za Ajira (TaESA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Dalba inapenda kuujulisha umma wa watanzania kuwa Wauguzi 240 kati ya Wauguzi 274 waliofanya usaili wa kazi za uuguzi nchini Saudi Arabia tarehe 3 – 4 Machi 2024 wamefaulu.

Hatua inayofuata kwa Wauguzi waliofaulu usaili ni kupokea na kusaini barua za awali za kazi (Offer letters) na baadaye kufanya mtihani wa kitaaluma (Prometric Exams) utakaowawezesha wahusika kusajiliwa na Bodi ya Wauguzi nchini Saudi Arabia na kupata Leseni ya kufanya shughuli za uuguzi nchini humo kwa mujibu wa sheria.

Hivyo basi, Wauguzi waliofaulu waliopo jijini Dar es Salaam wanataarifiwa kufika Ofisi za TaESA tarehe 29 na 30 Mei 2024 kuanzia saa nane mchana kukutana na wawakilishi wa Wizara ya Afya ya Saudi Arabia (Kampuni ya Dalba) kwa ajili ya kusaini barua za awali za kazi (Offer letters) pamoja na kupokea maelekezo mengine muhimu kwaajili ya kukamilisha mchakato wa ajira.

TAESA Waliofaulu Usaili Ajira ya Wauguzi Saudi Arabia

Wauguzi walio nje ya Dar es Salaam watapewa utaratibu wa namna ya kusaini barua za awali za kazi pamoja na maelekezo mengine.

Tunatumia fursa hii kuwapongeza wote waliojitokeza katika mchakato huu. Waombaji ambao hawakufanikiwa wanaweza kuomba tena mara nafasi zitapotangazwa.

Kwa maelezo zaidi wahusika wanaweza kuwasiliana na waratibu kupitia simu Na. 0735/39 221022 au barua pepe esu@taesa.go.tz.

Majina ya wauguzi waliofaulu yanapatikana kupitia www.kazi.go.tz.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WAUGUZI WALIOFAULU USAILI NAFASI ZA AJIRA NCHINI SAUDI ARABIA

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

Comments are closed.