RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu na Kada ya Afya 2024/2025

Filed in Ajira, TAMISEMI by on 21/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu na Kada ya Afya 2024/2025

TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu na Kada ya Afya 2024/2025

TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu na Kada ya Afya 2024/2025

TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu na Kada ya Afya 2024/2025,Serikali Kuajiri Walimu na Kada ya Afya 23000, Ni ajira za walimu wa Arts na Sayansi Msingi na Sekondari Pamoja na Ajira za Afya.

SERIKALI Yatangaza Ajira 11015 za Walimu 2024, Ajira 11015 za Walimu 2024, Ajira za Walimu 2024, Ajira Mpya za Walimu 2024, Ajira za Walimu Kupitia Ajiraportal, Ajira Mpya za Walimu Kupitia UTUMISHI July 2024.

JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira za Walimu 2024

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015 kama ilivyoainishwa katika
tangazo hili.

TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu 2024,Nafasi za kazi za Walimu 2024,Ajira mpya za walimu 2024,Nafasi za kazi za walimu 2024,TAMISEMI Ajira za elimu na Afya 2024

SERIKALI Yatangaza Ajira 11015 za Walimu 2024

NAFASI 210 za Tabibu wa Kinywa na Meno July 2024

NAFASI 9483 za Kazi Kada ya Afya TAMISEMI July 2024

CLICK HERE TO APPL

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE WA AJIRA ZA WALIMU 2024

  • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini.Waombaji wa nafasi za Mwalimu Daraja la III B na Mwalimu Daraja la III C
  • wahakikishe wanambatisha HATI  YA MATOKEO (ACADEMIC TRANSCRIPT) katika mfumo wa “Ajira Portal” kwa ajii ya utambuzi wa masomo ya kufundishia.
  • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutumia maombi nabwanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionaonkwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
  • Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na
    Mwanasheria/Wakili.
  • Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
    katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
  • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
  • Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kuzaliwa, kidato cha Nne, kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho, na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
  •  Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates. 
  • Cheti cha mtihani wa kidato cha I  na   Computer Certificate
  •  Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards).
  • “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
  • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
  • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo
    katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
  • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 02 Agosti, 2024.

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamojana vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (RecruitmentPortal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/.= (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)

Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo
hili HAYATAFIKIRIWA.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , ,

Comments (4)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Yuzo says:

    Ajira za mwezi wa kwanza na WA pili zimeishia wap au ilikua propaganda za mtandao tu

  2. Christian says:

    Kwan mwez wa pil walitoa ajira

  3. ibrahim says:

    Ajira za mwezi wa nne 2024 alizosema waziri husika kuwa dkt samia suluhu hassan katoa kibali cha ajira elfu 40 zimeishia wap

  4. Innocent says:

    Mwisho wa ku apply ni lini