TANGAZO la Kuitwa Kwenye Mafunzo Kutoka TAKUKURU May 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
TANGAZO la Kuitwa Kwenye Mafunzo Kutoka TAKUKURU May 2024
TANGAZO la Kuitwa Kwenye Mafunzo Kutoka TAKUKURU May 2024,Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Awali ya Uchunguzi,Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Awali ya Uchunguzi Takukuru May 2024, Invitation to Preliminary Investigation Training at PCCB May 2023,Mshahara wa afisa uchunguzi takukuru, Call For Work at PCCB Tanzania May 2024.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
anapenda kuwafahamisha kuwa mchakato wa ajira ndani ya Taasisi umefikia hatua ya kwenda Mafunzo ya Awali ya Uchunguzi.
Vigezo vilivyotumika katika kuwapata watu wanaotakiwa kwenda kwenye mafunzo ni pamoja na vifuatavyo:-
- Kiwango cha ufaulu wa mshiriki kwenye usaili
- Haiba ya mshirika; na
- Upekuzi kuhusu mwenendo wa kila mshiriki
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
- Kila mshiriki anapaswa kuhuhuria Mafunzo ya Awali ya Uchunguzi
yatakayofanyika kwenye Shule ya Polisi Tanzania Moshi; - Kwa upande wa nafasi ya AFISA UCHUNGUZI kila mshiriki anapaswa kuripoti kwenye Ofisi za TAKUKURU Kilimanjaro tarehe 31 Mei, 2024 siku ya Ijumaa
- Kwa upande wa nafasi ya MCHUNGUZI MSAIDIZI kila mshiriki anapaswa kuripoti
kwenye Ofisi za TAKUKURU Kilimanjaro tarehe 31 Julai, 2024 siku ya Jumatano - Maelekezo kuhusu ushiriki wa mafunzo haya yameainishwa kwenye barua ya wito
- Barua za wito wa kwenda kwenye mafunzo zimetumwa kwenye anuani na email za waliochaguliwa.
- Hivo unashauriwa kuangalia email yako uliyojaza kuona kama umeitwa kwenye Mafunzo.
Mkurugenzi Mkuu anawapongeza wote waliofanikiwa kuchaguliwa kwenda kwenye mafunzo hayo.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI TAKUKURU MAY 2024
TANGAZO la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Kutoka TAKUKURU May 2024
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya Mwaka 2007.
Sheria hii ilitungwa baada ya kufutwa kwa Sheria ya Kuzuia Rushwa (TAKURU) Sura ya 329 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002.
Kuanzishwa kwa chombo hiki kulikuja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Mswada wa Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2007 mnamo tarehe 16 Aprili, 2007.
Mswada huu ulisainiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete kuwa Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mnamo tarehe 11 Juni, 2007 na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai, 2007.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Invitation to Preliminary Investigation Training at PCCB May 2023, Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Awali ya Uchunguzi Takukuru May 2024, Mshahara wa afisa uchunguzi takukuru., TANGAZO la Kuitwa Kwenye Mafunzo Kutoka TAKUKURU May 2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Awali ya Uchunguzi