TANGAZO la Zabuni Kutoka Singida Black Stars June 04-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
TANGAZO la Zabuni Kutoka Singida Black Stars June 04-2024
TANGAZO la Zabuni Kutoka Singida Black Stars June 04-2024, Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars (zamani Ihefu SC) umetangaza ZABUNI kwa kampuni yenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufanya Uzalishaji na Usambazaji wa Vifaa vya Michezo kwa mwaka 2024/2025.
Zabuni itajumuisha kubuni, kuzalisha na kusambaza vifaa vya michezo zikiwemo jezi na vifaa vingine kwa niaba ya klabu.
VIGEZO NA MASHARTI
Muombaji wa Zabuni hii ni lazima:
- Iwe kampuni yenye Usajili na Vigezo vya kufanya kazi za aina hii Tanzania.
- Iwe kampuni yenye uwezo wa kuzalisha na kusambaza replica. zisizopungua 10,000 kwa msimu.
- Iwe kampuni yenye mtandao wa Mauzo Tanzania.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe (email) kwenda info@singidablackstars.co.tz au ceo@singidablackstars.co.tz
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 12/06/2024 saa 6:00 usiku.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: TANGAZO la Zabuni Kutoka Singida Black Stars June 04-2024