TANGAZO Muhimu Kuhusu Ajira Mpya za Walimu 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
TANGAZO Muhimu Kuhusu Ajira Mpya za Walimu 2024
TANGAZO Muhimu Kuhusu Ajira Mpya za Walimu 2024,Sektretarieti ya Ajira imetoa Tangazo kwa waombaji wote wa Ajira za Walimu kupitia Ajiraportal kuwa unapoandika barua ya maombi ya kazi kwa somo zaidi ya moja, unapaswa kuandika barua kwa kila somo husika.
Mfano ukiandika barua kwaajili ya somo la Kiswahili basi andika barua yake, history barua yake na uombe nafasi hizo kama zilivyoanishwa kwenye mfumo wa
maombi ya kazi.
MAWASILIANO
Kama una changamoto yoyote tuma email kwenda malalamiko@ajira.go.tz