RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

TANGAZO Muhimu kwa Waisailiwa Kutoka UTUMISHI

Filed in Ajira, Michezo by on 06/06/2024 0 Comments

TANGAZO Muhimu kwa Waisailiwa Kutoka UTUMISHI

TANGAZO Muhimu kwa Waisailiwa Kutoka UTUMISHI Leo June 06-2024, Ajira portal login,Ajira Utumishi, Utumishi Portal,Ajira portal registration, Utumishi yatoa tangazo la kuisha taarifa Kwa wasailiwa, wasailiwa watakuwa kuisha taarifa zao kabla ya June 10-2024, Tangazo muhimu Kwa wasailiwa wote.

TANGAZO Muhimu kwa Waisailiwa Kutoka UTUMISHI Leo June 06-2024

TANGAZO Muhimu kwa Waisailiwa Kutoka UTUMISHI, Tangazo Muhimu kwa Waisailiwa Kutoka UTUMISHI Leo June 06-2024, Ajira portal login,Ajira Utumishi, Utumishi Portal,Ajira portal registration, Utumishi yatoa tangazo la kuisha taarifa Kwa wasailiwa, wasailiwa watakuwa kuisha taarifa zao kabla ya June 10-2024, Tangazo muhimu Kwa wasailiwa wote.

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwajulisha wale wote walioitwa kwenye usaili kuhuisha (update) taarifa zao kwaajili ya kupangiwa kituo cha usaili kilicho karibu na eneo unaloishi.

Eneo la kuzingatia wakati wa kuhuisha (update) taarifa ni eneo la Taarifa binafsi (Personal Details), Mkoa uliopo kwa sasa (Current Resident Region) na Wilaya uliopo (Current Resident District).

Mwisho wa kuhuisha taarifa hizo ni tarehe 10 Juni 2024.

Taarifa inaeleza kuwa hakutakuwa na nafasi ya kubadili eneo la usaili baada ya terehe tajwa hapo juu kwani usaili utapangwa kulingana na Idadi ya wasailiwa katika kituo husika.

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *