KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

TANZANIA Yaifuata Zambia Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Filed in Michezo by on 08/06/2024 0 Comments

TANZANIA Yaifuata Zambia Kufuzu Kombe la Dunia 2026

TANZANIA Yaifuata Zambia Kufuzu Kombe la Dunia 2026

TANZANIA Yaifuata Zambia Kufuzu Kombe la Dunia 2026

TANZANIA Yaifuata Zambia Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Kikosi cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimewasili salama Jijini Ndola nchini Zambia kwaajili ya mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya wenyeji Zambia.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumanne ya June 11-2024 kuanzia Saa 10:00 kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa Jijini Ndola, Zambia.

Kupitia Nijuze Habari utaweza kufuatilia Update zote za mchezo huo, dakika baada ya dakika hadi dakika 90.

Tanzania ipo Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026 pamoja na Morocco, Niger, Kongo na Eritrea ambayo ilijitoa katika mbio za kuwania tiketi ya Fainali hizo zinazoandaliwa na Canada, Mexico na Marekani.

Taifa Stars ilianza vyema kampeni zake za Kombe la Dunia 2026 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger November 18-2023 mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Marrakech nchini Morocco.

Bao pekee la ushindi kwenye mchezo huo lilifungwa Mshambuliaji Charles William M’Mombwa wa Macarthur FC ya Australia.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *