RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


TAZAMA Washindi wa Tuzo Za BMT 2023

Filed in Michezo by on 11/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

TAZAMA Washindi wa Tuzo Za BMT 2023

TAZAMA Washindi wa Tuzo Za BMT 2023

TAZAMA Washindi wa Tuzo Za BMT 2023

TAZAMA Washindi wa Tuzo Za BMT 2023,Klabu ya Yanga ilifanikiwa kushinda tuzo ya Timu bora ya Kiume ya Mwaka 2023 kwa ngazi ya vilabu kwenye tuzo zinazotolewa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT) katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Juni 10, 2024.

Ndani ya mwaka huo Yanga ilitwaa Ubingwa Ligi kuu, Ubingwa FA, Ngao ya Jamii sambamba na kufanikiwa kufika Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika.

Pia Timu ya taifa ya wanaume ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshinda tuzo ya Timu bora ya kiume Mwaka 2023 kwa ngazi ya taifa kwenye tuzo zinazotolewa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT)

Washindi wengine wa tuzo hizo za BMT 2023 ni kama ifuatavyo;

Tuzo ya Mwandishi Bora wa Michezo wa Kiume imeenda kwa Hussein Shafih kutoka Shirika la Utangazaji TBC.

Mwandishi Bora wa Michezo wa kike ni Fatma Chikawe kutoka Azam Media.

Ahmed Arajiga Mwamuzi ambora wa kiume wa Mwaka tuzo za BMT

Mwamuzi bora wa kike wa Mwaka ni Pendo Njau

Tuzo ya Mwanamichezo Bora Chipukizi wa kiume imekwenda kwa Romeo ambaye ni mkali wa Kuogolea.

Mwanamichezo Bora wa kiume mwaka 2023 ni Bondia Yusuph Changalawe.

Tuzo ya Timu Bora ya klabu kwa upande wa wanawake, imekwenda kwa JKT Queens.

Mwanamichezo bora wa kike mwaka 2023 ni Bondia bondia Grace Mwakamele.

Timu ya Taifa ya Wanawake upande wa kriketi imetwaa Tuzo ya Timu Bora ya Taifa upande wa Wanawake.

Bondia Grace Mwakamele ndiye Mwanamichezo Bora wa kike mwaka 2023

Mwanamichezo Bora wa kike kutoka shuleni ni Happiness Fabian Kongoka kutoka Kapuya Sekondari, Kaliua Tabora.

Tuzo ya mwanamichezo bora wa kiume kutoka shuleni imekwenda kwa Agape Mwenda.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.