RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

TCRA Yataja Sababu za Internet Kukosekana Tanzania

Filed in Habari by on 12/05/2024 0 Comments

TCRA Yataja Sababu za Internet Kukosekana Tanzania

TCRA Yataja Sababu za Internet Kukosekana Tanzania

TCRA Yataja Sababu za Internet Kukosekana Tanzania

TCRA Yataja Sababu za Internet Kukosekana Tanzania, Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imesema Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini.

Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk Jabir Bakari amelithibitisha hilo alipotafutwa na Mwananchi Digital leo Jumapili Mei 12, 2024.

“Kunaonekana kuna tatizo la kiufundi kidogo linalohusiana na ‘marine cables’ kwa hiyo tunajaribu kupata maelezo zaidi,” amesema Dk Bakari.

Dk Bakari amesema kwa sasa wanaangalia namna ya kupata taarifa zaidi ili kujua ilipo changamoto ili kuchukua hatua.

Tatizo la mtandao wa intaneti limeanza tangu saa 5 asubuhi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *