TCU Majina 55,635 ya Waliochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja PDF
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
TCU Orodha ya Majina Waliochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja au Programu 2024, TCU Multiple Selection 2024 Round One.
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ndiyo inasimamia mchakato wa udahili kwa vyuo vya elimu ya juu nchini Tanzania.
Kwa mwaka wa masomo 2024/2025, TCU imetekeleza mfumo wa chaguzi nyingi ili kuchukua wanafunzi ambao wamekubaliwa katika taasisi zaidi ya moja.
JINSI ya Kuangalia Majina ya waliochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja au Program.
- Tafuta sehemu iliyoandikwa Orodha ya PDF ya Waliochaguliwa Shule zaidi ya Moja.
- Donwload PDF ya orodha ya waombaji waliochaguliwa kwa kila raundi.
- Hifadhi PDF kwenye kifaa chako Simu au Computer.
- Fungua faili lililopakuliwa na utafute jina lako.
- Unashauriwa kuchapisha orodha ya waliochaguliwa kwa madhumuni ya Kuangalia hata baadae.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Kwa Taarifa zaidi tembelea tovuti rasmi ya TCU kwa http://www.tcu.go.tz/.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: 635 ya Waliochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja PDF, TCU Majina 55