RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumamosi June 08-2024

Filed in Usajili, Michezo by on 08/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumamosi June 08-2024

TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumamosi June 08-2024

TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumamosi June 08-2024

TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumamosi June 08-2024,Kiungo wa kati wa Manchester City Bernardo Silva anajaribu kumshawishi kiungo wa kati wa Ureno na Benfica Joao Neves mwenye umri wa miaka 19, kujiunga naye City badala ya kuhamia Manchester United. (Goal)

Klabu za Ipswich Town, Norwich City na Celtic zote zina nia ya kumsajili mshambuliaji wa Uskoti, Aiden McGinlay mwenye umri wa miaka 17 ambaye anachezea timu ya Queen’s Park. (Daily Record)

Mshambuliaji wa Crystal Palace na timu ya taifa ya Uingereza Eberechi Eze mwenye umri wa miaka 25, ana kipengele cha kuachiliwa katika kandarasi yake yenye thamani ya takribani £60m, huku Tottenham ikiwa miongoni mwa vilabu vinavyohitaji huduma yake. (Mail)

Klabu ya Aston Villa lazima iongeze £60m katika mauzo ya wachezaji msimu huu wa joto ili kuepuka kukiuka kanuni za faida na uendelevu. (Football Insider)

Kiungo wa kati wa Brazil, Bruno Guimaraes amesema kuwa “anafuraha sana” kukaa Newcastle huku Arsenal na Manchester City zikiwa na nia ya kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26. (Mirror)

Mkufunzi wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard mwenye umri wa miaka 45, anataka kurejea kwenye uongozi na amekataa ofa zaidi. (Sportsport)

Mlinzi wa kushoto wa Scotland na Arsenal, Kieran Tierney mwenye umri wa 27 anasema kuwa angependa kurejea katika klabu ya zamani ya Celtic huku The Gunners wakijiandaa kusikiliza ofa msimu huu wa joto. (Football Insider)

Klabu ya Wolves inajaribu kumsajili mlinzi wa Ureno, Rodrigo Gomes mwenye umri wa miaka 20, kutoka Braga lakini wanakabiliwa na ushindani kwa kuwa Atletico Madrid pia wanamuitaji (Express na Star)

Majadiliano kati ya Mainz na Liverpool yameanza kuhusu mkataba wa kudumu kwa mlinzi Mholanzi Sepp van den Berg mwenye umri wa miaka 22. (Sky Germany)

Klabu ya Liverpool huenda ikampoteza mlinda mlango chaguo la pili Caoimhin Kelleher msimu huu wa joto huku mchezaji huyo wa kimataifa wa Jamhuri ya Ireland mwenye umri wa miaka 25 akisakwa na Celtic na Brentford. (Liverpool Echo)

Klabu za Tottenham na Bayern Munich zina nia ya kumsajili mlinzi wa Stuttgart wa Ujerumani Chris Fuhrich mwenye umri wa miaka 26. (BILD)

TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumamosi June 08-2024

Klabu ya Real Sociedad imeanza mazungumzo ya kumsajili mlinzi wa kushoto wa Uhispania, Sergio Gomez mwenye umri wa miaka 33 kutoka Manchester City. (Fabrizio Romano)

Klabu ya Celtic ina nia ya kumsajili mlinzi wa Wales, Chris Mepham mwenye umri wa miaka 26, lakini Bournemouth wanataka £8m kwa mchezaji huyo. (Wales Online)

Klabu ya Borussia Dortmund inafikiria wana nia ya kumsajili mlinzi wa Lyon, Jake O’Brien mwenye umri wa miaka 23, huku Everton na AC Milan pia wakimtaka. (Irish Independent)

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.