RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumapili June 09-2024

Filed in Usajili, Michezo by on 09/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumapili June 09-2024

TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumapili June 09-2024

TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumapili June 09-2024

TETESI za Usajili Ulaya Leo Jumapili June 09-2024, Kiungo wa kati wa Ufaransa Tanguy Ndombele mwenye umri wa miaka 27, anatazamiwa kuondoka Tottenham kama mchezaji huru msimu huu wa joto. (Foot Mercato – kwa Kifaransa)

Klabu ya Manchester United inatarajia kukamilisha usajili wa beki wa Everton, Jarrad Branthwaite kabla ya Juni 30 baada ya kiongo huyo kuachwa nje ya kikosi cha England cha Euro 2024 (Liverpool Echo)

Kocha Mkuu wa Fulham, Marco Silva anaweza kutua Nottingham Forest iwapo meneja wao Nuno Espirito Santo ataondoka (Mail)

Kocha wa zamani wa Manchester United, Louis van Gaal amesema kuwa kocha mwenzake wa Uholanzi Erik ten Hag hafai kufutwa kazi na klabu hiyo ya Ligi ya Premia. (Metro)

Kiungo wa kati wa Everton Mbelgiji Amadou Onana mwenye umri wa miaka 22 anahusishwa na kuhamia Arsenal na anasema angependa kuchezea “klabu ya kimataifa ya Dunia”. (Standard)

Klabu ya Newcastle imewasilisha dau la pauni milioni 16 kwa Burnley kumnunua mlinda mlango wa Uingereza James Trafford mwenye umri wa miaka 21, lakini Clarets wanataka pauni milioni 20. (Mail)

The Red Devils wanajiandaa kuwasilisha ofa ya pili kwa kiungo wa Benfica Joao Neves mwenye umri wa miaka 19, baada ya ofa ya awali ya £51m kukataliwa. (A Bola – kwa Kireno)

Klabu ya Manchester City inataka kumbakisha mshambuliaji wa Argentina, Julian Alvarez na hawatapokea ofa zozote za mkopo kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24. (Fabrizio Romano)

Klabu ya Atletico Madrid imekuwa ikihusishwa na Alvarez lakini rais wa klabu yao Enrique Cerezo inasema haamini kuwa mshambuliaji huyo ataondoka Etihad Stadium. (Standard)

Klabu ya Leicester City imefanya mawasiliano na kocha wa zamani wa Brighton na Chelsea, Graham Potter kuhusu nafasi yao ya ukocha. (Telegraph – usajili unahitajika)

Klabu ya Bayern Munich imefufua tena mazungunzo na Fulham kuhusu kumnunua kiungo wa kati wa Ureno Joao Palhinha, 28. (Mchezo)

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.