RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


TETESI Za Usajili Ulaya Leo Jumatatu June 10-2024

Filed in Usajili, Michezo by on 10/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

TETESI Za Usajili Ulaya Leo Jumatatu June 10-2024

TETESI Za Usajili Ulaya Leo Jumatatu June 10-2024,Klabu ya Everton wapo kwenye mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Albania, Armando Broja mwenye umri 22 kutoka Chelsea kwa mkataba wa £30m. (Ben Jacobs)

Klabu ya Wolves imekubali mkataba wa kumsajili mchezaji wa Ureno, Rodrigo Gomes mwenye umri wa 20 kutoka Braga. (Athletic – usajili unahitajika)

Klabu ya Arsenal imeambiwa kuwa italazimika kutumia pauni milioni 50 kumsajili kiungo wa kati wa Brazil, Douglas Luiz mwenye umri wa miaka 26 kutoka Aston Villa. (Mirror)

TETESI Za Usajili Ulaya Leo Jumatatu June 10-2024

TETESI Za Usajili Ulaya Leo Jumatatu June 10-2024

Klabu ya Manchester City inatazamiwa kumfanya kiungo wa kati wa Uingereza Phil Foden mwenye umri wa miaka 24, kuwa mchezaji wa Uingereza anayelipwa zaidi katika historia kwa kupandisha mshahara wake hadi £375,000 kwa wiki. (Sun)

Klabu za Arsenal na Manchester United bado zinavutiwa na mshambuliaji wa Bologna Mholanzi, Joshua Zirkzee mwenye umri wa miaka 23, ambaye pia anasakwa na AC Milan. (Sky Sports)

Klabu ya Bayern Munich imewasilisha ofa mwanzo ya thamani ya takriban Euro milioni 30 kumnunua kiungo wa kati wa Fulham Mreno Joao Palhinha mwenye umri wa miaka 28. (Mail)

Mlinda mlango wa zamani wa Arsenal, Jens Lehmann amesema kuwa hana uhakika kama kocha wa sasa Mikel Arteta ndiye mtu sahihi kuinoa klabu hiyo. (Telegraph – usajili unahitajika)

Mmiliki mwenza wa Wrexham, Rob McElhenney hajakata tamaa ya mshambuliaji wa zamani wa Wales na Real Madrid Gareth Bale mwenye umri wa miaka 34 kusajiliwa na klabu hiyo ya League One. (Mirror)

Klabu hiyo ya Wales pia iko kwenye mazungumzo na mlinda mlango wa Uingereza, Arthur Okonkwo mwenye umri wa miaka 22 kuhusu mkataba wa kudumu baada ya kuachiwa na Arsenal. (Talksport)

Klabu ya Al-Nassr ya ligi kuu ya Saudia ipo kwenye mazungumzo ya kumsajili kipa wa Poland, Wojciech Szczesny mwenye umri wa miaka 34, kutoka Juventus . (Fabrizio Romano)

TETESI Za Usajili Ulaya Leo Jumatatu June 10-2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.