RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

TETESI Za Usajili Yanga SC 2024/2025

Filed in Michezo, Usajili by on 12/06/2024 1 Comment

TETESI Za Usajili Yanga SC 2024/2025

TETESI Za Usajili Yanga SC 2024/2025, Tetesi Za Usajili Yanga Dirisha Kubwa la Usajili 2024/2025,Tetesi za Usajili Yanga 2024,Tetesi za Usajili Simba,Tetesi za usajili Yanga leo Dirisha dogo, Tetesi za Usajili Tanzania,Usajili Yanga Dirisha Dogo 2024.

Emmanuel Bola Lobota Yanga SC

Emmanuel Bola Lobota Yanga SC

Klabu ya Yanga inatajwa kuiwania saini ya Mshambuliaji, Emmanuel Bola Lobota kutoka raia wa DR Congo kutoka Singida Black Stars.

Salum Abubakar Yanga SC

Salum Abubakar Yanga SC

Klabu ya Yanga sc imepanga kuwaongeza mikataba mipya wachezaji Salum Abubakar, Jonas Mkude, Bakari Nondo Mwamnyeto pamoja na Kibwana Shomari.

Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto wa klabu ya FC Lupopo ya kwao DR Congo, Chadrack Issaka Boka mwisho wa msimu huu wa 2023/2024.

Boka mwenye umri wa miaka 24 anatua Young Africans kuchukua nafasi ya Joyce Lomalisa Mtambala ambaye anaondoka baada ya mkataba wake kuisha.

Klabu ya Yanga SC imetuma ofa kwa kiungo Mshambuliaji wa Simba Clatous Chama ya dola 10,000 (zaidi ya milioni 25 za Kitanzania) kama Mshahara na dola 100,000 (zaidi ya milioni 250 za Kitanzania) kama ada ya kumsajili nyota huyo wa kimataifa Zambia.

Yanga imepanga kumsajili Kagoma kwa usajili wa ndani huku jicho lao kubwa likiwa kwa Mshambuliaji wa Zimbabwe Prince Dube mwenye umri wa miaka 27.

Prince Dube Young AfricansAidha Klabu ya Yanga imetajwa kuhiitaji sana huduma ya Mshambuliaji huyo na wanaamini anaweza kuwa mtu sahihi wa kuziba nafasi ya Fiston Mayele.

Inaaminika kwamba Yanga wamekuwa wakihangaika kumshawishi mchezaji huyo kwa muda mrefu kutua katika kikosi hicho kutokana na uwezo wake.

Klabu ya Yanga SC imetajwa kukamilisha usajili wa winga  TP Mazembe ya kwao DR Congo, Phillipe Kinzumbi mwenye umri wa miaka 26.

Nyota huyo anatarajiwa kujiunga na Yanga SC dirisha kubwa la usajili huku usajili huo ukiwa wa Mabadilishano na Mshambuliaji Kennedy Musonda.

Mwanaspoti tetesi za usajili leo,Usajili wa Yanga leo,tetesi za usajili yanga 2023/2024, tetesi za usajili yanga 2023/24,Tetesi za usajili Yanga Dirisha Kubwa 2024, tetesi za usajili Yanga 2024/2025.

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *