KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024

Filed in Michezo, Usajili by on 15/01/2024 0 Comments

TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024

TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024, Kupitia Post Hii Utapata List Wachezaji Wapya Yanga 2023/2024, Wachezaji Wapya Yanga 2023 24, Majina Ya Wachezaji Wa Yanga, Picha Za Wachezaji Wa Yanga, Wachezaji Wapya Simba, Usajili mpya Yanga 2023/24 Tetesi za usajili yanga 2023/2024,Usajili Yanga 2024,Tetesi za usajili ulaya LEO 2023, Tetesi za Usajili Yanga leo Dirisha dogo, usajili yanga 2023/24 download video, Usajili Simba 2023/24, Wachezaji Wapya Yanga 2023,Tetesi za Usajili Tanzania.TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024, Kupitia Post Hii Utapata List Wachezaji Wapya Yanga 2023/2024, Wachezaji Wapya Yanga 2023 24, Majina Ya Wachezaji Wa Yanga, Picha Za Wachezaji Wa Yanga, Wachezaji Wapya Simba, Usajili mpya Yanga 2023/24 Tetesi za usajili yanga 2023/2024.

Tetesi za uhamisho wa yanga, mwanaspoti tetesi za usajili yanga na usajili yanga dirisha dogo, hayuko nyuma katika uhamisho wa msimu huu mpya ili kujiimarisha zaidi na kuwa wagumu zaidi katika msimu huu unaofuata.

Tetesi hizi za dirisha jipya la usajili la yanga kuwa ni nyingi kwani mashabiki wamezisikia na kutarajia kuona makubwa zaidi kwenye msimu huu jinsi kikosi kitakavyokuwa na aidha morari ya timu itabaki juu au chini.

Mwanaspoti tetesi za usajili leo, hasa mashabiki wamesikia mambo mengi kuhusu wachezaji wapya waliosajiliwa kutoka klabu bora za soka barani Afrika kama Ivory coast, Afrika Kusini, Ethiopia na kadhalika.

Katika kila msimu kuna madirisha mawili ambayo yanaruhusu timu kufanya uhamisho wa usajili na kusajili wachezaji. Kwa hiyo kupitia tetesi za usajili yanga dirisha dogo, timu inaweza kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha timu.

Tetesi Za Usajili Yanga SC 2023/2024 Transfer Rumors,Tazama Tetesi Za Usajili Yanga 2023/2024 Usajili Yanga Leo, Tetesi za usajili yanga sc dirisha dogo 2023 2024 download,usajili yanga 2023/2024, tetesi za usajili yanga 2023/2024, dirisha kubwa la usajili 2023/2024, Usajili Yanga 2023 dirisha dogo.

TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024, Kupitia Post Hii Utapata List Wachezaji Wapya Yanga 2023/2024, Wachezaji Wapya Yanga 2023 24, Majina Ya Wachezaji Wa Yanga, Picha Za Wachezaji Wa Yanga, Wachezaji Wapya Simba, Usajili mpya Yanga 2023/24 Tetesi za usajili yanga 2023/2024,Usajili Yanga 2024,Tetesi za usajili ulaya LEO 2023, Tetesi za Usajili Yanga leo Dirisha dogo, usajili yanga 2023/24 download video, Usajili Simba 2023/24, Wachezaji Wapya Yanga 2023,Tetesi za Usajili Tanzania.

TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024

Katika msimu huu hadi sasa klabu ya soka ya yanga imeonyesha jambo kubwa na la kushangaza kwenye uwanja wa soka kuwa mchezo au mpira ambao Yanga walicheza ni wa kufurahisha na kustaajabisha sana.

Hii ni orodha mpya ya majina ambayo klabu ya soka ya Yanga kwenye dirisha dogo la usajili inatarajia kuwasajili ili kujiunga na Yanga Sports Club msimu ujao wa 2023/2024.

Joseph Guede Gnadou Yanga SC.

Joseph Guede Gnadou Yanga SC.

Klabu ya Yanga imetajwa kukamilisha usajili wa Mshambuliaji Joseph Guede Gnadou raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 29 kutoka Tuzlaspor ya Uturuki.

Augustine Okrah Yanga SC

Augustine Okrah Yanga SC

Klabu ya Yanga inatajwa kuwa katika hatua za mwisho Kumsajili, Kiungo Augustine Okrah mwenye umri wa miaka 30 kutoka Bechem ya kwao  Ghana kwa ada ya uhamisho wa USD 150,000.

Moses Phiri Yanga SC

Moses Phiri Yanga SC

Klabu ya Yanga imetajwa kuwa kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa Wachezaji, Simon Msuva na Moses Phiri.

Moses Phiri atatua Yanga akitokea Simba baada ya kukosa nafasi kwenye Kikosi hicho, na inaelezwa kuwa tayari amesaini mkataba wa awali.

Simon Msuva Yanga SC

Simon Msuva Yanga SC

Kwa upande wa Simon Msuva yeye baada ya kuondoka Uarabuni Mazungumzo yalianza mara moja na atakuwa sehemu ya Kikosi Cha Yanga kuanzia January 2024.

Shekhan Ibrahim Young AfricansUongozi wa Klabu ya Young Africans umekamilisha Usajili wa kiungo, Shekhan Ibrahim mwenye umri wa miaka 19 kutoka JKU ya Zanzibar.

Jonathan Sowah Young AfricansKlabu ya Young Africans imetajwa kuiwania Saini ya Mshambuliaji hatari wa Medeama SC, Jonathan Sowah raia wa Ghana mwenye umri wa miaka 24.

Manu Labota Bola Young AfricansPia Young Africans inatajwa kuiwania saini ya winga Manu Labota Bola mwenye umri wa miaka 23 kutoka FC Lupopo ya kwao DR Congo.

Mika Miche Simba Sc, aMika Miche Yanga SC.Klabu za Simba na Yanga zipo kwenye vita ya kumwania kiungo, Mika Miche mwenye umri wa miaka 27 mzaliwa wa Kinshasa, Zaire kutoka Saint Eloi Lupopo ya kwao DR Congo.

Sankara William Karamoko Yanga SCInaelezwa kuwa Klabu ya Yanga imeanza mchakato upya wa kuinasa saini ya Kiungo Mshambuliaji, Sankara Karamoko mwenye umri wa miaka 20 kutoka ASEC Mimosas, licha ya kuwepo na taarifa za kuwindwa na SK Sturm Graz ya Austria.

Hali ya timu ni nzuri sana kulinganisha na miaka iliyopita. Yanga ilifanya vyema katika miaka hii miwili mfululizo ambayo imefanikiwa kutwaa taji la ligi dhidi ya wapinzani wao Simba waliomaliza katika nafasi ya pili kwenye Msimamo la ligi kuu ya NBC, Tetesi za usajili yanga.

Ni sehemu ya Ligi Kuu ya Tanzania lakini pia ilifanya vyema katika michuano ya CAF inayojulikana kwa jina la CAF Confederation Cup, ambapo yanga ilifanikiwa kutinga hatua ya fainali na ilicheza dhida ya USM Algers ya Algeria.

Haya ni mafanikio makubwa ambayo yanga wameyafikia msimu huu hadi sasa. Kupitia ushiriki wa kombe la Shirikisho, yanga imetangaza jezi mpya za jezi ambazo Yanga walikuwa wakizitumia walipokuwa wakicheza na timu yoyote kwenye michuano hii.

Usajili Yanga 2024,Tetesi za usajili ulaya LEO 2023, Tetesi za Usajili Yanga leo Dirisha dogo, usajili yanga 2023/24 download video, Usajili Simba 2023/24, Wachezaji Wapya Yanga 2023,Tetesi za Usajili Tanzania.

Yanga ni miongoni mwa timu ambayo ina jezi nzuri na zilizoundwa vizuri. Mwanaspoti tetesi za usajili leo Hii ni orodha mpya ya majina ambayo klabu ya soka ya yanga kwenye tetesi hii mpya ya usajili Yanga SC, inatarajia kuwasajili ili kujiunga na Young African Club msimu ujao wa 2023/2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *